6-0
4-1
4-1
5-0
Watabadilishana uenyekiti wa klabu lakini watastaafu na madeni ya vipigo hivyo!
Matokeo ya mechi ya vijana yalikuaje?kwa mara ya kwanza jana nilikaa VIP ya elfu 20,kwa mara ya kwanza jana niliingia uwanjani saa 6,kwa mara ya kwanza jana sikuthubutu kuingia Jf jukwaa la sport ili kusoma na kutuma post kilichojili uwanjani,kwa mara ya kwanza jana kufuatilia michezo yote 2 yaani ule wa watoto na baadae game kuu kwa umakini wa hali ya juu na kumsoma mchezaji mmoja mmoja,nimegundua Chuji ni noma pia Barthez anastaili kuitwa timu ya taifa,pia jana niyonzima alikuwa moodless na game ya jana,
kwa mara ya kwanza jana nilikaa VIP ya elfu 20,kwa mara ya kwanza jana niliingia uwanjani saa 6,kwa mara ya kwanza jana sikuthubutu kuingia Jf jukwaa la sport ili kusoma na kutuma post kilichojili uwanjani,kwa mara ya kwanza jana kufuatilia michezo yote 2 yaani ule wa watoto na baadae game kuu kwa umakini wa hali ya juu na kumsoma mchezaji mmoja mmoja,nimegundua Chuji ni noma pia Barthez anastaili kuitwa timu ya taifa,pia jana niyonzima alikuwa moodless na game ya jana,
game ya watoto wa ynga vs wa simba iliishaje mkuu?
Picha kwa hisani ya Blog ya Mahmoud Zubeiry a.k.a Bin Zubeiry
ahahahahahhh, masuke, mwambie tu kitoabu aje, nitampa na wine kdg ili asione maruweruwe usingizini, kushinda raha jamani, ona kitoabu anavyohaha kutafuta pa kulala, njoo pande hii mwaya nitakufadhili tu
Umeshafungwa mjomba usijipe faraja kwa matokeo ya zamani.
kwa mara ya kwanza jana nilikaa VIP ya elfu 20,kwa mara ya kwanza jana niliingia uwanjani saa 6,kwa mara ya kwanza jana sikuthubutu kuingia Jf jukwaa la sport ili kusoma na kutuma post kilichojili uwanjani,kwa mara ya kwanza jana kufuatilia michezo yote 2 yaani ule wa watoto na baadae game kuu kwa umakini wa hali ya juu na kumsoma mchezaji mmoja mmoja,nimegundua Chuji ni noma pia Barthez anastaili kuitwa timu ya taifa,pia jana niyonzima alikuwa moodless na game ya jana,
Hayo yako ni maneno tu, hata kwenye khanga yapo mtani......Kweli washabiki mnao, dume zima linajifanya kuwa jimama kwa sababu tu ya utani halafu alivyopozi kwa hako kajamaa sasa, au ni njaa tu alikuwa anatafuta hela; na huyo mwingine naye sijui kasomea wapi hata malkia kashindwa kuiandika.
Hayo yako ni maneno tu, hata kwenye khanga yapo mtani......
Hii hapa chini ndio Habari ya mjini.......Kama nawaona vile mnavyoumia mioyoni 'mabinti' wa Malkia wa Nyuki....
mkuu game ya vijana Simba B 1 - Yanga B 0, goli lilipatikana kipindi cha kwanza lakini sikufanikiwa kupata jina la mfungaji,licha ya Yanga B lakini walitawala mchezo dk zote 90 na katika idara zote,tatizo kubwa la Yanga B ni umaliziaji tu ila kiukweli vijana wako safi sana
Hiyo ni sanaa tu mtani.....Unakuwa kama haujawahi kuwaona Original Comedy na Ze Comedy mtaniKweli ni maneno, lakini kutokana na hiyo picha kuna mawili, ni njaa au akili haiko sawa ndo unaweza kufanya. Fikiria mtani uone mtoto wako wa kiume kapozi hivyo, unadhani utafurahia tu kwa sababu ni ushabiki?
Hahahahaha Lunyasi Julio amesema nini? Mimi nawashauri tu Simba kwa kuwa wanaandaa hawa "watoto" kwa ajili ya ligi ya mismu ujao, kwa nini kwanza wasiwapeleke kushiriki Kombe la Coca Cola kabla ya kuwapeleka kupambana na wanaume!
Ni kweli mtani ni sanaa lakini kwenye Original Comedy na Ze Comedy hakuna kinachoniudhi kama hao jamaa kujifanya wanawake na wengine kukata viuno ovyo ovyo bila kujali hivyo vipindi vinaangaliwa na watu wa umri tofauti tofauti. Hata hivyo nawapongeza kwa ushindi.Hiyo ni sanaa tu mtani.....Unakuwa kama haujawahi kuwaona Original Comedy na Ze Comedy mtani
Mkuu ina maana ulikuwa unaangalia wachezaji wa upande mmoja tu, tupe na za wale wa upande wa pili.