Simba SC v Young Africans SC

Fidel80 Aisha alikuletea bili....? nilipiga K... lager saba kupunguza machungu ya kufungwa.
 
Last edited by a moderator:
Fidel80 Aisha alikuletea bili....? nilipiga K... lager saba kupunguza machungu ya kufungwa.

Mkuu wangu Katavi Aisha alinipa bill mi nilikuwa busy na kusherekea ubingwa, nilikuwa na raha mbili.

Huyu shabiki alipatia sana kutabiri ikawa kinyume chake, sijui bango hili alirudi nalo kwa mkewe?
 
Last edited by a moderator:
Mtabaki na hayo hayo, kufungwa mmefungwa, yanga wamechukua kombe, hamna nafasi ya kushiriki michezo ya kimataifa mwakani, mmebaki kuandika mambao ambayo hata hayawasaidii

6-0
4-1
4-1
5-0

Watabadilishana uenyekiti wa klabu lakini watastaafu na madeni ya vipigo hivyo!
 
Mtabaki na hayo hayo, kufungwa mmefungwa, yanga wamechukua kombe, hamna nafasi ya kushiriki michezo ya kimataifa mwakani, mmebaki kuandika mambao ambayo hata hayawasaidii

Baada ya kipigo ilikuwa hivi mitaa ya Msimbazi
 
Sana sana walikuwa wakikimbia tu uwanjani,
cc Masuke.

Last edited by a moderator:
Mtabaki na hayo hayo, kufungwa mmefungwa, yanga wamechukua kombe, hamna nafasi ya kushiriki michezo ya kimataifa mwakani, mmebaki kuandika mambao ambayo hata hayawasaidii

Umesahau na milioni 70 ram....hebu sema millliooooniii....
 
Last edited by a moderator:
Simba imeshachukuliwa na wahindi je? itabadilishwa jina kuwa..... 'Singida united?' aah maswali machache tu povu linakutoka la nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…