Simba SC v Young Africans SC

Mkuu WABHEJASANA iweke pembeni hiyo 5m mashabiki wa YANGA waipangie bajeti.

Nirushieni hata pipi kwani niko mbali.

Mkuu ndoho tabu mwanawane,wala hiyo hakuna nona tena inaweza kuzidi,nakwambie tena eti yni mimi nachukia sana ukigeuka huku 5,ukisema hili 5,ukikanyaga pel 5,yani inanikera wakati mwingine mpaka naogopa hata kuzungumza na jamaa zangu,halafu mbaya zaidi rafiki zangu wengi ni Simba halafu Man U yani ujinga mtupu!.
 
Hiyo kali, itabidi tubadilishane marafiki, maana mimi rafiki zangu zaidi ya asilimia 90 ni Yanga.
 
Mkuu hapo kwenye red huwezi nikopesha mimi kwa riba ndogo kuna kaproject fulani kanazihitaji, maana hiyo ahadi najua haiwezi kukamilika.

Mkuu suala la kukopa hilo ni lingine kabisa,na ukija kwa stahili hiyo waweza pata tu kama ukijieleza vizuri achilia mbali kwa riba twaweza fanya kitu flani then ukaipata hiyo mkuu,huezi amini mimi mtaji wangu nilipewa 1.5m nikaanzisha shimo moja tu la dhahabu huko Lwamgasa Geita,lakini leo ninayo zaidi ya 20,so hiyo inawezekana tu mkuu.
 
mkianza kufunga nyie itakuwa hivyo ila kama wakitangulia yanga imekula kwenu na refa wao kazi mnayo..
Tangu lini umerudisha kadi ya Simba wewe?
Naona now days umeamua kujipozea kwa Azam!
Chezeya waangola weye!
 
Hiyo kali, itabidi tubadilishane marafiki, maana mimi rafiki zangu zaidi ya asilimia 90 ni Yanga.

Yani jamaa yangu napata tabu sana,ninao wale wa Yanga lakini ndo hivyo hatuna ukaribu sana kama wale wa Simba,wapo watatu tu wale wa damu ambao ni wa Yanga lakini asilimia 70 ni Simba mkuu.
 
Kumbe tunaweza ongea biashara, hayo mashimo bado yanapatikana kwa urahisi huko Geita?
 
Jamani watu wa Yanga msije kunitoa macho, mimi nimeikuta tu sehemu nikaona niilete huku tuone wote.

 
nasikia mpaka sasa saa sita hakujadondoka hata tone moja la mvua ikiwa ni dalili ya timu ya simba kupoteza, au wachawi wao wamebadilihsa mikakati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…