Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo ni siku nyingine katika historia ya Yanga na Simba. Yanga iliandika historia ya kuitandika Simba goli 5-0 hapo tar. 01/06/1968. Simba ilijibu mapigo kwa kuicharaza Yanga 6-0 tar. 19/07/1977. Simba ililipa kichapo cha 5-0 cha mwaka 1968 tar. 06/05/2012. Hadi sasa Yanga haijalipa kichapo cha 6-0 cha 1977. Je, Yanga itaifunga Simba 6-0 leo?
(Data frm Bin ZUBEIRY).
Hamisi Kiiza!Gooooooooooooooooooh!!!!! ( unamjua mfungaji wa goli hilo?)
utarushwa kideon?
Walahi ntajing'ata makalio leo!!!!!
Mkitufunga leo, sisi tutakuwa tunasoma habari kama hizi:
Simba humiliate Yanga - SuperSport - Football
Huyo ngasa bora wasimchezeshe itakuwa 12 kwa 10 leo baada ya mechi rasmi atavua jezi ya libolo na kuvaa ya nyumbani
Mkuu acha woga bhana!Kaka mandieta kauli kama hizi huwa sio nzuri sana kuna jamaa alikula BAN humu siku yanga anaua mtu 3 hivi hivi,sasa na wewe angalia ka sababu ukishindwa kujing'ata utang'atwa,by the way Yanga ndiye mshindi leo ingawa sitaki kuapia chochote Mkuu.
Hapo kwenye red Hahahahahahaaaaaaaaaa!Ngassa hata siku moja hawezi kuifunga Yanga,jana nilikuwa naongea naye kwa simu unajua nimewahi kuwa kiongozi wake mwaka flani hivi wakati kabla hajaenda Kagera na Toto wakati huo nikiwa Geita,akawa ananiambia kwamba ni ngumu kunyea kambi unayokwenda kulala!.
yanga kufungwa na simba leo,ni kitu kigumu kama baba kumuamkia mtoto wake
Mkuu Masuke leo vaa uzi wa njano au kijani ili usijelazimishwa kuvua hiyo blauzi yako nyekundu.Mkitufunga leo, sisi tutakuwa tunasoma habari kama hizi:
Simba humiliate Yanga - SuperSport - Football
Hapo kwenye red Hahahahahahaaaaaaaaaa!
Nakubaliana na wewe Mkuu masuke lakini vijana wanatakiwa wakaze sana msuli unajua simba wananiudhi sana na maneno yao ya ngumi.mimi nataka nikwambie masuka,natangaza rasmi na naomba hili kila mmoja aweke kenye akili yake na tuwasiliane baada tu ya mechi,endapo kama yanga wataifunga simba Idadi ya Mabao matano hata kama ni tano mbili,tano tatu,tano moja ama zaidi ya hayo,mimi naahidi kwamba Natoa Milioni 5 cash,wanayanga wote tuliomo humu mtachagua tukutane wapi,kwa mara ya kwanza tufahamiane,kwa sababu mmekjuwa mnanifurahisha sana kwa michangi yenu na utetezi ndani ya JF,na mashabiki wa Yanga ndio nimegundua ni wengi humu ndani ya JF.naomba ieleweke hivyo na baada ya mechi naomkba yeyote yule ambaye anaamini yeye ni Yanga Daima ani-PM mara moja ili tukubaliane kama ni kesho wapi tunakutana,na kama kwa yule atakayekuwa uwanjani asisite kuni-PM hapohapo kabla hatujatoka uwanjani ili ikiwezekana tuanze kufahamiana humohumo na kupeana mawasiliano namna ya kupanga kukutana na nasema hivi wakishinda leo hii,hicho kikao ama sherehe ni kesho JUMAPILI.
Kumbukumbu tarehe ya leo
18 May 1991 Yanga 1 - 0 Simba
sijui itajirudia ngoja tutaona aisee...
Kauli ya Ngassa imenifurahisha lol!Mkuu sijaelewa unamanisha nini etii!.