Zinedine
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 1,187
- 694
Nataka nimnyanganye refa kadi nyukundu ilimpira unoge
Fanya fastaaaa mkuu nikumbuke enzi mie; nim-cannavaro mtu halafu bila kadi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka nimnyanganye refa kadi nyukundu ilimpira unoge
wamechoka!
Jamani haya kipindi cha pili kimeanza.
Haya tunakwenda kipindi cha pili hapa lazima goli mbili nimeziona za Yanga hadi mwisho Yanga 3 simba 0,ambaye hataki aache.
Sitaki naacha...Haya tunakwenda kipindi cha pili hapa lazima goli mbili nimeziona za Yanga hadi mwisho Yanga 3 simba 0,ambaye hataki aache.
Hawa kina Seseme sijui Se-nini kuna game zao za kucheza siyo hiziSunzu in,seseme out dk47.
kama kipindi cha pili yanga wasirudi
sijui walianza viroba mapema!
Huko nje kuko full bado na mashabiki wamezuiwa kuingia.
Kipindi cha pili ndio kinaanza sasa.
Here we go.................!
Hawa kina Seseme sijui Se-nini kuna game zao za kucheza siyo hizi
Tano hazipo wewe, hilo lenyewe linarudi.Mbona mawazo ya 5 yamekufa mapema?
Yanga is the big Libolo? Hahahahaaaa