WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Duuh haka kangasa jamani katatuharibia siku, si wakadhibiti!
Hawezi si unaona anavyopiga nje,hawezi kulenga lango,we unadhani akiifunga atakwenda kuingia wapi?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh haka kangasa jamani katatuharibia siku, si wakadhibiti!
Sasa nimeamini Mrisho ni Yanga damu!
Ksbb hii mechi ni Simba Vs Yanga na siyo Simba Vs Polisi Morogorokwanini unasema.. naona ngasssa anataka kuleta njaa simba..
tayari yanga wanaanza kupotea taratibu..
Mmeanza,sipati picha angekuwa yeye ndo amekosa ile penaltSasa nimeamini Mrisho ni Yanga damu!
Ksbb hii mechi ni Simba Vs Yanga na siyo Simba Vs Polisi Morogoro
Duuh haka kangasa jamani katatuharibia siku, si wakadhibiti!
Jamani hivi Mkuu mwekundu yupo humu? Mbona kimya msiba wake huu. (mimi kwa mkopo tu)
Yanga wanatakata aisee.
HIZO ZILIPENDWA!! Tulia tuwapakate wanyama koko nyie!!
Mmeanza,sipati picha angekuwa yeye ndo amekosa ile penalt
Mmeanza,sipati picha angekuwa yeye ndo amekosa ile penalt