Simba SC v Young Africans SC

Simba SC v Young Africans SC

Hilo neno LIBOLO wenzetu hawataki kulisikia kabisa

Hata kama ni wewe mkuu usingelipenda kusikia kitu kinitwa LIBOLO,SO ni lazima waliogope,kwa sababu kwanza sio ka-----,ni LIBOLO maana yake ni kitu kikubwa,kizito chenye ncha kali.
 
Siwaoni watani wa jadi; Balantanda na Crashwise humu, kulikoni?

Bala vipi mkuu? This time you are not around.
 
Mi naisubiri hiyo Sub ya Babu wa kifaransa ya Ngassa,mbona haiji
 
Naona mpira wa njano uwanjani
Hivi ungekuwa MWEKUNDU mtani angeingiza timu uwanjani?
 
Back
Top Bottom