Simba SC v Young Africans SC

Simba SC v Young Africans SC

mimi yanga damu damu hope leo tutapeleka machozi pale mtaa mchafu kabisa msimbazi
 
Yuko wapi yule Refa wa kutoa penalt 3,atupe penalt zetu tulipize zile 5
 
Wakuu mlioko uwanjani,
Tafadhali tusimulieni magoli yalivyofungwa, na yakifungwa mengine vile vile. Ahsanteni
 
Back
Top Bottom