Simba sc vs libolo!

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
5,139
Reaction score
1,147




Hili jina la hii timu itakayocheza na simba litawasumbua sana mashabiki wa simba hasa kama watafungwa..,mashabiki wa yanga hawatakua na kazi kubwa sana ya kutengeneza kejeli za maudhi dhidi ya wanyama.

Tafakari mwana simba wakati ukiajiandaa dhidi ya libolo -Angola.
 

Hebu funguka mdau litawasumbua ki vipi!!
 
Wakuu, 'Libolo' kwa kifupi neno hili ni jina la sehemu ya siri ya kiume yaani ule 'mtambo' wenyewe. Kiambishi awali 'Li' huonyesha ukubwa wa mtambo huo, maneno mengine ni k.v. Ling'ombe, Limtu n.k. hivyo neno 'Libolo' ni tusi kule Mza, Shy, Tbr, Git, Smy n.k. Simba inabidi washinde tu, wakipigwa wanayanga watawapachika maneno lukuki!
 
Lazima Liwagonge Ngozi tena nataka muuaze nyie kuwafunga halafu wawapige 2 au 3 itatengeneza headline nzuri saana ya kiingereza. . . Libolo's come(commings)from behind to maul SSC
 
Libolo likubwakubwa.....ha ha ha ha ha ha ha!
 
Si ndo maana wakaenda arabuni kujiandaa na kasheshe za libolo?

mkuu nyenyere ebu funguka fresh huko arabuni walienda kufanyia mazoezi libolo?.......libolo la Angola liko sawa na waarabu?
 
mkuu nyenyere ebu funguka fresh huko arabuni walienda kufanyia mazoezi libolo?.......libolo la Angola liko sawa na waarabu?

Mwe si inasemekana waarabu wanapenda kutumia mfumo wa libolo kufunga magoli wawapo uwanjani!
 
simba yaweka mkia pembeni na kutunguliwa na libolo nyumbani.
 
[h=3]SIMBA NA MALKIA WA NYUKI WAONYESHA UZI WA SUNDERLAND YA ULAYA WATAKAOUTUMIA JUMAPILI DHIDI YA LIBOLO[/h]

[TABLE="width: 650, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwenyekiti wa klabu hiyo, Alhaj Ismail Aden Rage (kulia), akizungumza na Waandishi wa Habari mchana wa leo, makao makuu ya klabu hiyo, Mtaa wa Msimbazi, kuhamasisha mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi uwanjani katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, dhidi ya Recreativo de Libolo ya Angola keshokutwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kushoto ni Mfadhili wa Simba SC, Rahma AL Kharoos ‘Malkia wa Nyuki'.


[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 

JKT Oljoro ni noma sana.. wamamkatalia MNYAMA Wanaenda kulegeza kwa ndugu zao Mgambo....
 
wadau, napendekeza 'malkia wa nyuki' awe mwenyekiti wa ssc.

 
Hapo sina shida na mnyama ushindi ni lazima
 
Libolo litaliwa na mnyama temeke kesho?!!naona azam wameanza vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…