Simba sc vs libolo!

Simba sc vs libolo!

Mlio Taifa leteni habari laivu mambo yanavyoendelea, acheni hizi longo longo za Li ----.
 
Leta matokeo tupo mbali na kwetu tunataka kujuwa kasha kula Mibolo mingapi huyo Simba Koko
 
Libolo wanapata goli.rage msomali na malkia wa nyuki mpo?
 
Vichwa vya habari vya magezeti
*simba yachanwachanwa na libolo
*simba yapigwa libolo
*libolo came from behind to beat simba
*simba hoi kwa libolo

*simba yaimeza libolo
*simba yaila libolo
*simba yaitafuna libolo

ha hahahaha duh hii heading kiboko *libolo came from behind to beat simba
 
simba wanatia huruma aisee jamaa wanacheza wanavyotaka wanagawa sambusa 2 apa
 
Libaolooooo hahaaaa kanyaga ahao waenda oman kuimba taarabu
 
Back
Top Bottom