Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hakika simba ninayoifahamu sio ile ya akina Mohamed Mwameja,Madaraka Seleman,Abdul Mashine na wengineo.hii timu tangu akabidhiwe huyu msomali bure kabisa.
Nasikia Simba kashachapwa na Libolo
Mechi kubwa ya kimataifa hata TV Moja haionyeshi Live!! Kweli Msomali yake Ni Mirungi na Kuteka Meli. That ALL
Li'---- linatisha
hata mimi nashangaa!yaani Azam jana wameonyeshwa kupitia starTV wao hata clouds tu wameshindwa!!!
Hahahaah! Mbona liboro wa kawaida sana, wanafungwa leo.Yataka moyo na akili kama ya mwendawazimu kuonyesha hadharani dhahma,dhoruba na kashkash za LIBOLO
Malkia wa nyuki yupo?
Wanaonesha zile ambazo wana uhakika wa kushinda
Wamezidi kudhurumu,walimdhurumu Phiri,wakam'dhurumu Basena kabla hawajaamua kumlipa kwa kumpa u'kocha msaidizi,wakaidhurumu familia ya Marehemu Mafisango(RIP) na sasa wanataka kumdhurumu Milovan, dhurumati wakubwa hawa.Wamlipe baba wa watu hela yake. Eti watamuwekea benki! Kuna tofauti gani na kumpa hundi. Acha li..ro liwachome
updates jamani, mbona porojo zinazidi
Hahahaah! Mbona liboro wa kawaida sana, wanafungwa leo.