Simba sc vs libolo!

Simba sc vs libolo!

Huyo Ngassa wanamchosha bure tu,bora mwezi wa 5 ufike arudi nyumbani ambapo jitihada zake zinaweza kulipa
 
Jamani ngapi ngapi, naona mnazidisha tu porojo baadala ya kutuelezea game inavyokwenda. Kuna dalili ya kurudisha goli na kupiga mengine angalau matatu?
 
Hahah...
kweli Libolo limeng'ang'ania naona Simba wanaotea tu hapa...
 
Kipindi cha pili vipi? Kuna dalili za kurudisha au kuongezwa watu8
 
Last edited by a moderator:
Boban anapiga mpira, mchezaji wa Libolo kama mpira kaushika vile....ila ni goal kick
 
Nyosso ndio mambo gani unafanya...ndio maana ulitemwa
 
Simba watulie maana ni aibu Simba kapakatwa na Libolo
 
Back
Top Bottom