Simba sc vs libolo!

Simba sc vs libolo!

Hispanian kitu gani........mbona walikuja Cameroon juzi kati, nini walifanywa na Simba SC
 
mmmmmhhhhhh mitz bwana eti gumu..

Hahah..sasa muda unavyoenda ugumu wa kuchomoa bao unaongezeka...

Libolo wanafanya mabadiliko, J Martin mfungaji wa goal anatoka anaingia mchezaji mwingine...
 
Back
Top Bottom