ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,767
- 6,575
Hao Looserpool nao lazima wachezee kichapo kama ilivyoada yao...
kwani wao ni mkia..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao Looserpool nao lazima wachezee kichapo kama ilivyoada yao...
ngasa kapombe na kazimoto wanasumbua sana..
Wewe Simba, acha ku-divert topic kukwepa kibolo kilichochomekwa humo mwako!!!Dk 10 Liv 0 - 0 Swansea..
Beki wa kushoto wa Libolo anatoka, anaingia mchezaji mwingine....
Dk 89 bado kibolo kimoja kinaning'inia ndani!!
Mpira unakaribia kuisha........Ubungo nauli 2,000.....
Ngoja nipate Kilimanjaro baridi hapa nje Uwanja karibu wanaSimba tupoze machungu huku tukisubiri Foleni ipungue.Mpira unakaribia kuisha........Ubungo nauli 2,000.....
Wanasumbuaje bila kupata magoli? Watu tunataka ushindi tena wa magoli mengi siyo kufungwa tumefungwa lakini chenga tumewala. Mpira magoli mbwembwe hazitusaidii.
kama unautani na bemg crashwise na katavi sawa sie tushajimaliza jana wepesi..
Wanashangaza sana hawa wavaa ndala. Halafu wanasahau kwamba mechi za kimataifa ni dk 180!