Simba sc vs libolo!

Simba sc vs libolo!

Lazima Liwagonge Ngozi tena nataka muuaze nyie kuwafunga halafu wawapige 2 au 3 itatengeneza headline nzuri saana ya kiingereza. . . Libolo's come(commings)from behind to maul SSC
Tayari limeingizwa bao moja na Libolo!
 
Siamini kama kibolo kimeshikilia, hii ndiyo shinda ya kwenda kuweka kambi sehemu ambapo watu hawajui mpira.
 
Kapigwa Kibholo Mnyama kapakatwa kisha kabakwa kwake bila kubisha mbele ya mama yao Malkia CHEZEA LIBORO WEYE Nenda kwao sasa mkaolewe kabisa Msomali tangulia ukachukue Mahari
 
Umehamia Azam gafla bin vuu
Umeona eeh? Huyu jamaa mimi nimemshitukia siku nyingi....Simba huyu! Kila Simba ikining'nizwa kama hivi leo na hichi kibolo, utamuona huyo anasepea kwa Wanarambaramba!!
 
Tangu lini muimba taarabu anajua kucheza mpira.Safari hii waende Misri mazoezini labda watakaza sauti kidogo
 
Kapigwa Kibholo Mnyama kapakatwa kisha kabakwa kwake bila kubisha mbele ya mama yao Malkia CHEZEA LIBORO WEYE Nenda kwao sasa mkaolewe kabisa Msomali tangulia ukachukue Mahari
Daaah, mnatunyima raha wakuu....mbona ivo lakini, tulikuwa tunapeperusha bendera ya taifa
 
Umeona eeh? Huyu jamaa mimi nimemshitukia siku nyingi....Simba huyu! Kila Simba ikining'nizwa kama hivi leo na hichi kibolo, utamuona huyo anasepea kwa Wanarambaramba!!

Simba wakipakatwa anaisaliti timu
 
Kazi kwenu waandishi wa habari za magazetini kesho,mmerahisishiwa kazi.
 
Hivi Hawa Mburula wanapenda kujisifia kuwa wao ni wazuri wa mechi za Kimataifa Hivi wanarekodi gani Vile? Wadau wekeni hapa . . . . Maestro Geoff Leya Msomali Al shababy anawadanganya Nyie
 
Nenda kwa amani mkuu, mi ngoja nikachome sindano ya kisukari fasta

Asante mkuu...mambo ya kawaida haya, haswa ukiwa mshabiki wa soka letu hili la Kichwa cha Mwendawazimu.
Shughuli hizi waliziweza kina Uncle Thom, Chumila, Malota Soma, Mwameja na wengineo
 
wakuu, 'libolo' kwa kifupi neno hili ni jina la sehemu ya siri ya kiume yaani ule 'mtambo' wenyewe. Kiambishi awali 'li' huonyesha ukubwa wa mtambo huo, maneno mengine ni k.v. Ling'ombe, limtu n.k. Hivyo neno 'libolo' ni tusi kule mza, shy, tbr, git, smy n.k. Simba inabidi washinde tu, wakipigwa wanayanga watawapachika maneno lukuki!

hak'yamama! Kuuumbe! Basi mnyama kazi anayo kwa watani zake akifungwa.
 
Back
Top Bottom