Simba sc vs libolo!

Simba sc vs libolo!

Athari za kuingiliwa na LIBOLO hizi, bora kuwa mtazamaji kuliko kutiwa goli na Libolo

Ha ha ha. Chezea mimba wewe, haswa isiyotarajiwa Dume limepiga kimoja tu. Simba kajaribu kuichoropoa, wapi! Asubiri kuzaa tu
 
Leo Kulikuwa hakuna Cha Kiemba wala kazibaridi wote walikuwa wanautafuta kwa Tochi. Ha Ha Ha Ngassa masikini mdogo wangu Wewe Mchezaji akaitwa Chanongo atakuwa mchezaji wa soka kweli au Mcheza mchiriku eti Kapombe Angalia majina Huko Mbele Coutinho kashapachika Libolo la Pili Liver 2 Bata maji 0
 
Lazima tuwatie Adabu hawa Jembe Jose Enrique anapiga bonge la ---- la 3 Bata Bahari wanautafuta kwa vibatari
 
Waulize Zamalek na Mufurila Wanderers wana majibu

aise kweli zile 5-0 mlizomfunga mufulira Lusaka! Duh Kajole watu wanaenda kumzika mwanae wa kumzaa yeye anakwenda kupanda treni ya Tazara Majini matupu. Ndio maana mechi iliyofuata mkamua mtoto wa Watu Masikini Tindwa RIP
 
Waulize Zamalek na Mufurila Wanderers wana majibu

Halafu mkafika wapi?...Hapo kwenye RED naona unatutajia habari zilizotokea enzi za kina Marijani Rajabu...
 
Waulize Zamalek na Mufurila Wanderers wana majibu


usijidanganye na mambo ya kihistoria,simba unayoizungumzie ni hii ambayo haijashinda hata mechi moja nje ya temeke toka mwaka jana ligi imeanza mpaka sasa tunaelekea mwezi wa 3!
 
'Libolo' ni jina la sehemu ya siri ya kiume iliyokuzwa na kiambishi awali 'li' ambayo huingia ndani ya sehemu ya siri ya kike. Sina shaka mashabiki wa Simba huko Tabora, Shinyanga, Geita, Mwanza, Simiyu na popote Kisukuma kinapozungumzwa wamekerwa sana Simba kufungwa na timu yenye jina hili. Mimba tayari imeingia, baada ya wiki mbili mtoto ataitwa 'KUTOLEWA'
 
Malkia wa simba na liboro!!!!!!!!.....sipati picha!!!!..utamu wa utani hapo!!!
 
Watawakumbuka Sana Wale Jamaa wa Tawi la Mpira Pesa WANAONA MBALI SANA Walijuwa kuwa Mzee Wa Bastola ni Mzee Wa Magumashi
 
Back
Top Bottom