Simba sc vs libolo!

Mi nawashangaa sana Simba, yaani wameamua kulifuata LIBOLO!!!!Hawaogopi?
 
kuna watu wana utani......baada ya SIMBA kuchapwa na liBOLO yaamua kujipima nguvu na chiPUMBU YA Zambia kabla ya kuikabili al- SHAHAWA-li ya morocco
 
Hahahahahah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
wazee wa historia,kwa nini huwezi kuongelea hili Simba la sasa linalotisha. Unajua utavuna aibu
 
Vichwa vya habari vya magezeti
*simba yachanwachanwa na libolo
*simba yapigwa libolo
*libolo came from behind to beat simba
*simba hoi kwa libolo

*simba yaimeza libolo
*simba yaila libolo
*simba yaitafuna libolo
Bao tatu za libolo zawaliza simba
 
Vichwa vya habari vya magezeti
*simba yachanwachanwa na libolo
*simba yapigwa libolo
*libolo came from behind to beat simba
*simba hoi kwa libolo

*simba yaimeza libolo
*simba yaila libolo
*simba yaitafuna libolo
Damn [emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Hili kaburi la mwaka gani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…