Simba SC vs Mbao SC

Simba SC vs Mbao SC

mtupe matokeo, wengine huku azam wamepoteana, mvua inanyesha na hakuna channel inayoonyesha
 
Kichuya inabidi aende kwa mkopo hata mbao naona nimzigo tu
 
mikwaju ya penalti itaamua matokeo baada ya dakika 90 kuisha 0-0
 
Back
Top Bottom