Simba SC vs Mbao SC

Simba SC vs Mbao SC

Hizo fedha za mshidi wa tatu wa Sports pesa nashauri wachezaji wa Simba wasipewe mgao kwa kuwa wametukosea adabu. Wamecheza kibishololo, usiku wanaenda kujirusha ndombolo ya solo! Hovyoo kabisa.
 
Back
Top Bottom