mtupe matokeo, wengine huku azam wamepoteana, mvua inanyesha na hakuna channel inayoonyesha
90 tayari na matokeo bila bila. Ila pale msimbazi kuna bundi mkubwa tuKichuya inabidi aende kwa mkopo hata mbao naona nimzigo tu
Zinaongeza dk au yapigwa matuta tu!90 tayari na matokeo bila bila. Ila pale msimbazi kuna bundi mkubwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wachezaj mizigo sana inabidi iondoke tu bn90 tayari na matokeo bila bila. Ila pale msimbazi kuna bundi mkubwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichuya inabidi aende kwa mkopo hata mbao naona nimzigo tu