Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
simba 5 mbao 3
Kweli huyu ni paka. Anasubiri kushinda kwa penati!!!!!!!
hongereni watani kwa kupata kifuta jasho cha mshindi wa 3
PoleniMbao wamepambana sana hakuna mechi wamefungwa kizembe, mechi zote wamepambana hadi dk 90
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ulitaka watoe machozi uwanjani, aaah.
Kiwango kishaporomoka.. Naona sasa pumbu nyingi sana huyu dogoKichuya inabidi aende kwa mkopo hata mbao naona nimzigo tu