Simba Sc Vs Mbeya City|NBC Premier League| Meja Jeneral Isamuhyo Stadium| Desemba 04, 2025| Saa 19:00 Jioni

Simba Sc Vs Mbeya City|NBC Premier League| Meja Jeneral Isamuhyo Stadium| Desemba 04, 2025| Saa 19:00 Jioni

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC leo, Mnyama Simba atashuka dimbani kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo. Kikosi cha Simba kitaongozwa na kocha wao wa muda mrefu ndani ya klabu, Seleman Matola.

Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita, klabu ilimtangaza kumfuta kazi Meneja Mkuu Dimitar Pantev, hatua iliyokuja baada ya mfululizo wa matokeo yasiyoridhisha.
1764830720151.jpeg
 
Watu wamepoteza kabisa hamasa na mpira wa Tanzania labda wamebaki kushabikia mpira wa Ulaya tu.

Endapo Afcon ya 2027 itakayofanyika Tanzania, Kenya na Uganda itaikuta hii serikali ikiwa madarakani basi itakua ni aibu kubwa sana kwa hii nchi kwani ususiaji utakuwa ni wa kiwango ambacho kitakuwa hakijawahi kuonekana duniani.
 
Yani imekua ghafla sana, watu wamepoteza interest
 
Huyu Mayanga nadhani kapokea kitu ili apate red sio bure
 
Imagine unakuwa na SSOWAH then huanzi naye 1st eleven...
PANTEV alitukusosea mechi ya PETRO
 
Back
Top Bottom