Yani imekua ghafla sana, watu wamepoteza interestWatu wamepoteza kabisa hamasa na mpira wa Tanzania labda wamebaki kushabikia mpira wa Ulaya tu.
Endapo Afcon ya 2027 itakayofanyika Tanzania, Kenya na Uganda itaikuta hii serikali ikiwa madarakani basi itakua ni aibu kubwa sana kwa hii nchi kwani ususiaji utakuwa ni wa kiwango ambacho kitakuwa hakijawahi kuonekana duniani.