Simba Sc Vs Namungo | VPL | Mkapa Stadium

Simba Sc Vs Namungo | VPL | Mkapa Stadium

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
220376034_1985011854991153_6475977152439943241_n.jpg


Mabingwa mara nne mfululizo leo wanakabidhiwa ndoo yao wakikipiga na Namungo FC. Hii ni katika mwendelezo wa kuchukua back to back 10
 
SIMBA MABINGWA mara 4 mfululizo yaaani Hat trick jumlisha 1. Hongereni Wadau wote akina Ghwazat, OKW BOBAN SUNZU, Mshanajr na wadau wooote mliotoa hamasa kwa Simba SC kwa msimu wa 20120/21 Hapa JF na Hatimaye ubingwa umetua Msimbazi.
Tukutane Kigoma
 
Nani anaongoza kufunga magoli ? Top 4 imekaeje ?
 
Back
Top Bottom