Simba Sc Vs Ruvu Shooting,Uwanja wa Taifa

Binafsi namkubali Sana deo kanda ningependa game ya leo acheze.Utabiri wangu Simba anashinda si chini ya goal 3
 
Hili timu la Mikia lililojaa mizee leo lazima lipapaswe
 
Yes OKW BOBAN SUNZU ..Kama kawaida wale wenye kurejesha furaha kwa wadau wa kandanda Mabingwa wa Nchi, Simba SC, Wekundu wa Msimbazi, wanarejea uwanjani ushindi pamoja na burudani

Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana Nguvu Moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…