Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes OKW BOBAN SUNZU ..Kama kawaida wale wenye kurejesha furaha kwa wadau wa kandanda Mabingwa wa Nchi, Simba SC, Wekundu wa Msimbazi, wanarejea uwanjani ushindi pamoja na burudaniView attachment 1478359
Afrika Mashariki nzima inatambua leo wenye ligi yao watakuwa Uwanja wa Taifa katika mbio za kukamilisha ratiba. Mechi ni Simba Sc dhidi ya Ruvu Shooting.
Utaungana nami hapa JF tukishirikiana na wakuu Ghazwat tutakujuza yote mastaa wa Simba wakitumbuiza pale taifa.
Usiondoke
jana wenzenu Vyura SC wamepenya.Game imeanza 01' Simba 0-0 Ruvu
mkuu habari unayoKichuya wa nini hapo!?