mwanateknolojia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 1,026
- 1,749
Walioenda Zanzibar awali kabisa ndio wataokuwapo katika selection. Bwalya, chama, miquisson, na walio stars wote hawatakuwapo.Hivi chama na mickson watakuwepo leo?
Majina ya wachezaji yaliyowasilishwa na timu zote mbili katika macshindano ya Mapinduzi ndio hao hao watakaotumika, hakuna uwezekano wa kuongeza mchezaji nje na majina yaliyowasilishwa. Hivyo walioenda Zanzibar ndio hao hao watakaokuwa sehemu ya vikosi vya timu zote mbili.
Hili linaweza kutokea kukawa na surprise ya wachezaji. Hasa hasa kwa waliokuwa wamemaliza majukumu ya timu zao za taifa.Nimemsikiliza lakini anasema kwa sheria yasizidi majina ya wachezaji 30,kama timu haikupeleka baadhi ya majina haiwezi kupekeka tena ,lakini ukiwaza wachezaji 30 ni timu nzima tutajuaje kama majina yamepelekwa ila hakucheza mechi zilizopita na leo ndo wanacheza ?
Karibu hapa Nangumbu tupate gahawa huku tukicheki kandandaNaona leo mnyama anenda kupakuliwa biliani lake.
Kutoka nanganga, huuko kabisa kusiko toka jua, nawatakia wananchi ushindi wa kishindo.
Wamatopeni utopoloMikia fc
Leo hutoki mtaniWamatopeni utopolo
Umeona jana manara kampost chama kwamba anakuja kwa ajili ya mechi na tangu mapinduzi ianze hakwepoHili linaweza kutokea kukawa na surprise ya wachezaji. Hasa hasa kwa waliokuwa wamemaliza majukumu ya timu zao za taifa.
Leo utajuta kuingia fainali mzee wa kuchetua anapiga hatrickLeo hutoki mtani
Simba Sc tulijua tego hili.Chama, Bwalya na Luis majina yaliendaMajina ya wachezaji yaliyowasilishwa na timu zote mbili katika macshindano ya Mapinduzi ndio hao hao watakaotumika, hakuna uwezekano wa kuongeza mchezaji nje na majina yaliyowasilishwa. Hivyo walioenda Zanzibar ndio hao hao watakaokuwa sehemu ya vikosi vya timu zote mbili.