Simba SC vs Yanga SC, Mapinduzi Cup final leo. Simba kuondoka na kikombe

Simba SC vs Yanga SC, Mapinduzi Cup final leo. Simba kuondoka na kikombe

Simba tunataka kikosi cha VPL leo, kitakachopiga mwananchi dozi za kutosha huku kikisakata Pira Biriani! Wale jamaa wameshatufikisha fainali sasa turudi kwenye kikosi cha mfumo!
 
Majina ya wachezaji yaliyowasilishwa na timu zote mbili katika macshindano ya Mapinduzi ndio hao hao watakaotumika, hakuna uwezekano wa kuongeza mchezaji nje na majina yaliyowasilishwa. Hivyo walioenda Zanzibar ndio hao hao watakaokuwa sehemu ya vikosi vya timu zote mbili.

Mmmmh! Hatari Na kwakweli,
 
Simba tunataka kikosi cha VPL leo, kitakachopiga mwananchi dozi za kutosha huku kikisakata Pira Biriani! Wale jamaa wameshatufikisha fainali sasa turudi kwenye kikosi cha mfumo!

Ndio kinachohitajika, leo
 
Nimemsikiliza lakini anasema kwa sheria yasizidi majina ya wachezaji 30,kama timu haikupeleka baadhi ya majina haiwezi kupekeka tena ,lakini ukiwaza wachezaji 30 ni timu nzima tutajuaje kama majina yamepelekwa ila hakucheza mechi zilizopita na leo ndo wanacheza ?
Hili linaweza kutokea kukawa na surprise ya wachezaji. Hasa hasa kwa waliokuwa wamemaliza majukumu ya timu zao za taifa.
 
Naona leo mnyama anenda kupakuliwa biliani lake.

Kutoka nanganga, huuko kabisa kusiko toka jua, nawatakia wananchi ushindi wa kishindo.
Karibu hapa Nangumbu tupate gahawa huku tukicheki kandanda
 
Uko Zenj kama kuna dalili ya mvua mvua hivi na mawingu,ama mvua kabisa Uto awaponi.
 
Leo ndio leo kimoko tu 🐈 chali wananchi tunainua makwapa
 
Hili linaweza kutokea kukawa na surprise ya wachezaji. Hasa hasa kwa waliokuwa wamemaliza majukumu ya timu zao za taifa.
Umeona jana manara kampost chama kwamba anakuja kwa ajili ya mechi na tangu mapinduzi ianze hakwepo
 
Majina ya wachezaji yaliyowasilishwa na timu zote mbili katika macshindano ya Mapinduzi ndio hao hao watakaotumika, hakuna uwezekano wa kuongeza mchezaji nje na majina yaliyowasilishwa. Hivyo walioenda Zanzibar ndio hao hao watakaokuwa sehemu ya vikosi vya timu zote mbili.
Simba Sc tulijua tego hili.Chama, Bwalya na Luis majina yalienda
 
Back
Top Bottom