Simba SC vs Yanga SC, Mapinduzi Cup final leo. Simba kuondoka na kikombe

Naweza kupata link yoyote ya kustream hii mechi online??
 
Mchezo ndiyo umeisha Yanga yatoa kipigo cha mbwa mwizi kwa simba 3 kwa sufuri
 
me wala hata sina wasiwasi, sababu binafsi huwa naifananishaga simba ni chadema na yanga ni ccm kwahiyo kijani lazima kifie mbele
 
Watu wanajiandaa na Champions League vitimu vidogo kama Yanga vinashadadia Mashindano ya Matamasha🤣🤣🤣
Leo mnayaita matamasha,wakati Manara anasema msimu huu unachukua makombe yote matatu la ligi,Azam confederation na Mapinduzi na dio moja ya mipango ya viongozi wa Simba.

Alafu nyinyi mnakikosi kipana hata mkicheza nyinyi mashabiki mnashinda sasa mna wasiwasi gani,game mnashinda hii au hutaki treble.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…