Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kicheze hiki kikosi ndiyo tutashindaSimba tayari imetoa line up ifuatayoView attachment 1676676
Labda kicheze hiki kikosi ndiyo tutashindaSimba tayari imetoa line up ifuatayoView attachment 1676676
ile ilikuwa kuwatia timbo joto tu YangaUmeona jana manara kampost chama kwamba anakuja kwa ajili ya mechi na tangu mapinduzi ianze hakwepo
me wala hata sina wasiwasi, sababu binafsi huwa naifananishaga simba ni chadema na yanga ni ccm kwahiyo kijani lazima kifie mbeleWakuu leo ni siku nzuri sana, kwa mashabiki, na watani, wa jadi, wa mpira wa miguu, me ni mshabiki, na mpenzi, wa mnyama Simba SC.
Utabili wangu leo, ni Simba kuondoka na kikombe kutokana na timu yangu kuwa na mwendelezo mzuri wa dozi.
Na leo pia tunaenda kuwauwa Yanga.
Vipi maoni yako, Wewe kuhusu game ya Leo?
Watu wanajiandaa na Champions League vitimu vidogo kama Yanga vinashadadia Mashindano ya Matamasha🤣🤣🤣ile ilikuwa kuwatia timbo joto tu Yanga
😂😂😂😂😂😂Simba tayari imetoa line up ifuatayoView attachment 1676676
Leo mnayaita matamasha,wakati Manara anasema msimu huu unachukua makombe yote matatu la ligi,Azam confederation na Mapinduzi na dio moja ya mipango ya viongozi wa Simba.Watu wanajiandaa na Champions League vitimu vidogo kama Yanga vinashadadia Mashindano ya Matamasha🤣🤣🤣
Tuliza mshono we bi MkolaUtopolo wamelikomalia hill kombe utadhani ndio Champions League yao.