Simba SC vs Yanga SC, Mapinduzi Cup final leo. Simba kuondoka na kikombe

Kombe la mbuzi na debe la mchele + katoni ya sayona
 
Mbwembe zooote za kumsafirisha Ntibazokiza usiku kwa Usiku anaenda kutolewa jasho na Akina Duchuuu wa Under 20[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yanga ina watu ukimkamia Ntibazokiza unakutana na TK master. Huyu kawafanya vibaya sana wachezaji wa Simba
 
Mje huku bara mmalizie viporo vyenu vya Azam na Namungo huku tar 13 mna mechi na AS Vital wazee wa 5.

Manara msimu huu alituambia watamfunga yoyote watakaye kutana nae mbele na watachukua makombe yote matatu.

Kesho ataanza zile kauli za Sungura sizitaki mbichi hizi,mara hoo ili bonanza,sisi tunapanda ndege,tunakusubiri kwenye VPL ,leo watu wetu hawaja timia.Wakati swala la kuchuku TREBLE ni moja ya mikakati ya Simba mwaka huu.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Duh. Kweli Nyau mna roho saba aisee...
Lala Weweee..
Kwa kikosi cha simba cha leo Mimi niliwabetia mapema kua mtapata ushindi mwepesi mno

Nimeshangaa nafungulia redio dakika ya 88 eti bila bila... Sikutegemea kama mngefika umbali huu kwa kikosi kile
 
Msimu huu ni wetu Wananchi, tuta hakikisha makombe yote yanakuja Jangwani.
Makombe yote na lipi lingine?

Maana huku VPL msimu unaweza ukaisha ukakosa hata nafasi ya upili
 
Kwa kikosi cha Simba leo kama Yanga wameshindwa kuwafunga basi Yanga ni wazembe aisee.
Nyie si mnatuambia mna kikosi kipana na kwa maneno ya MANARA anasema mnaweza mkapanga kikosi kimoja kinacheza Mapinduzi Zanzibar,Kingine na Yanga kwa Mkapa na Kingine Chamanzi na Azam ,alafu vyote vina shinda mbona mnakuwa wasahaulifu wakati haya ndio maneno yenu vijiweni.

Kwaa hiyo leo ndio mmegundua kuna SIMBA B,mbona Yanga wachezaji wake wa zaidi ya 5 wa first eleven hawakucheza.
 
Yanga leo walikua full ngwamba wakicheza na Simba B kwenye final ya Mapinduzi Cup.
 
Achana nae huyo. Hao hao wamejitapa kwa kikosi hiko hiko kuwa kimewacharaza wakina Namungo, na Mtibwa magoli mengi. Sio Kama Yanga wametoka sare kibao. Saivi wanajisahaulisha
 
Huku mtaani ni kelele tu za utopolo, unajua ni kwanini?

Yanga wanamda gani hawalijui kombe?

Concentration yetu sisi ni mechi za kimataifa huko na ndio maana leo tumewapa mcheze na team B

Round hii sio robo fainali, target yetu ni nusu au fainali yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…