Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Penalt ni upepo tu sio kiwango
Duh. Kweli Nyau mna roho saba aisee...Yanga wanashangilia utafikiri wamechukua VPL
Zali tu.. hata nabii tito kwa tuta anaweza mfunga hadi degeaUpepo gani mkuu, wakisulisuli au?
Yanga ina watu ukimkamia Ntibazokiza unakutana na TK master. Huyu kawafanya vibaya sana wachezaji wa SimbaMbwembe zooote za kumsafirisha Ntibazokiza usiku kwa Usiku anaenda kutolewa jasho na Akina Duchuuu wa Under 20[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kombe la mbuzi na debe la mchele + katoni ya sayona
Zali tu.. hata nabii tito kwa tuta anaweza mfunga hadi degea
Wanasema et nyau fc kapotelea jangwani.Nini kinaendelea jamani sie tupo chato huku hakuna koneksheni
Kwa kikosi cha simba cha leo Mimi niliwabetia mapema kua mtapata ushindi mwepesi mnoDuh. Kweli Nyau mna roho saba aisee...
Lala Weweee..
Yanga wanajua ya kwamba wakicheza mpira wa kasi pamoja nguvu basi Simba haifurukuti. Hii game approach ya pili Kaze inaifanya dhidi ya Simba. Na game zote mbili zimefanikiwa mbinu zake isipokuwa mastraika wake ndio wanaomuangusha.Ndo mpira wa yanga. Minguvu mingi tuu
Makombe yote na lipi lingine?Msimu huu ni wetu Wananchi, tuta hakikisha makombe yote yanakuja Jangwani.
Nyie si mnatuambia mna kikosi kipana na kwa maneno ya MANARA anasema mnaweza mkapanga kikosi kimoja kinacheza Mapinduzi Zanzibar,Kingine na Yanga kwa Mkapa na Kingine Chamanzi na Azam ,alafu vyote vina shinda mbona mnakuwa wasahaulifu wakati haya ndio maneno yenu vijiweni.Kwa kikosi cha Simba leo kama Yanga wameshindwa kuwafunga basi Yanga ni wazembe aisee.
Achana nae huyo. Hao hao wamejitapa kwa kikosi hiko hiko kuwa kimewacharaza wakina Namungo, na Mtibwa magoli mengi. Sio Kama Yanga wametoka sare kibao. Saivi wanajisahaulishaNyie si mnatuambia mna kikosi kipana na kwa maneno ya MANARA anasema mnaweza mkapanga kikosi kimoja kinacheza Mapinduzi Zanzibar,Kingine na Yanga kwa Mkapa na Kingine Chamanzi na Azam ,alafu vyote vina shinda mbona mnakuwa wasahaulifu wakati haya ndio maneno yenu vijiweni.
Kwaa hiyo leo ndio mmegundua kuna SIMBA B,mbona Yanga wachezaji wake wa zaidi ya 5 wa first eleven hawakucheza.
Huku mtaani ni kelele tu za utopolo, unajua ni kwanini?Mje huku bara mmalizie viporo vyenu vya Azam na Namungo huku tar 13 mna mechi na AS Vital wazee wa 5.
Manara msimu huu alituambia watamfunga yoyote watakaye kutana nae mbele na watachukua makombe yote matatu.
Kesho ataanza zile kauli za Sungura sizitaki mbichi hizi,mara hoo ili bonanza,sisi tunapanda ndege,tunakusubiri kwenye VPL ,leo watu wetu hawaja timia.Wakati swala la kuchuku TREBLE ni moja ya mikakati ya Simba mwaka huu.
😀😀😀