Kwani Simba A haikucheza na Yanga msimu huu?Yanga leo walikua full ngwamba wakicheza na Simba B kwenye final ya Mapinduzi Cup.
Penalt hata nabii tito anakufunga,Achana nae huyo. Hao hao wamejitapa kwa kikosi hiko hiko kuwa kimewacharaza wakina Namungo, na Mtibwa magoli mengi. Sio Kama Yanga wametoka sare kibao. Saivi wanajisahaulisha
Msimu upi?Kwani Simba A haikucheza na Yanga msimu huu?
Ptuuuuuuuuuu...Simba anashinda 3-1
SawaYanga watachezesha kikosi kamili na bado watapigwa tu[emoji3061]
Kapandisha mashetani huyo!!Mnajifanya mnakikosi kipana,kumbe waoga na hamjiamini.Tatizo lenu mnaenda uwanjani na maneno ya Manara atawaua.
View attachment 1676827
Huku mtaani ni kelele tu za utopolo, unajua ni kwanini?
Yanga wanamda gani hawalijui kombe?
Concentration yetu sisi ni mechi za kimataifa huko na ndio maana leo tumewapa mcheze na team B
Round hii sio robo fainali, target yetu ni nusu au fainali yenyewe
Yanga watapigwa kama mbwa mwizi.
Kwenda kabadilishe @lΒ£β©@yz huko pumbaff sana ww..Utopolo wamelikomalia hill kombe utadhani ndio Champions League yao.
Wakachukue hela yao tu kwa DoctorNaona leo mnyama anenda kupakuliwa biliani lake.
Kutoka nanganga, huuko kabisa kusiko toka jua, nawatakia wananchi ushindi wa kishindo.
Hakuna nyau wala nini leoWakachukue hela yao tu kwa DoctorView attachment 1676858
Wazee wa nyau sioSimba tayari imetoa line up ifuatayoView attachment 1676676
Achana na siasa ni muda wa burudanime wala hata sina wasiwasi, sababu binafsi huwa naifananishaga simba ni chadema na yanga ni ccm kwahiyo kijani lazima kifie mbele
Makombe yote na lipi lingine?
Maana huku VPL msimu unaweza ukaisha ukakosa hata nafasi ya upili
Yanga leo walikua full ngwamba wakicheza na Simba B kwenye final ya Mapinduzi Cup.