Simba SC vs Yanga SC, Mapinduzi Cup final leo. Simba kuondoka na kikombe

Simba SC vs Yanga SC, Mapinduzi Cup final leo. Simba kuondoka na kikombe

Achana nae huyo. Hao hao wamejitapa kwa kikosi hiko hiko kuwa kimewacharaza wakina Namungo, na Mtibwa magoli mengi. Sio Kama Yanga wametoka sare kibao. Saivi wanajisahaulisha
Penalt hata nabii tito anakufunga,
 
Hilo ndio mlilobakiwa nalo,kwa hiyo leo SIMBA MNAKUBALI MNA TIMU B.?

Kwa hiyo hamna kikosi kipana ?

Target yenu nusu fainali au robo sahau na hivi viporo mnavyo vitengeneza hivi mnazidi kujichosha,sioni mkiingia robo,una viporo vya Azam na Namungo alafu tarehe 13 Feb unawafuata walikupiga AS Vital walio kupiga tano.

Sisi msimu tuna mkimbiza mwizi kimya kimya.Hatuna kelele mara tunachukua treble,mara tutamfunga yoyote tutakaye kutana nae,ukitusikia ujue tushanyanyua ndoo.
Huku mtaani ni kelele tu za utopolo, unajua ni kwanini?

Yanga wanamda gani hawalijui kombe?

Concentration yetu sisi ni mechi za kimataifa huko na ndio maana leo tumewapa mcheze na team B

Round hii sio robo fainali, target yetu ni nusu au fainali yenyewe
 
Yanga watapigwa kama mbwa mwizi.
IMG-20210113-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom