Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Utopolo wamelikomalia hill kombe utadhani ndio Champions League yao.
Yaani Yanga wanashambulia balaa hapa Presha tupu yaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utopolo wamelikomalia hill kombe utadhani ndio Champions League yao.
Mapumziko bila bilaNgapi ngapi?
Kweli aiseeeMpira hauna utulivu kabisa , mabeki wa Yanga wanacheza sana rafu huyu refa huu mchezo utamshinda
Nenda kachezeshe weweMpira hauna utulivu kabisa , mabeki wa Yanga wanacheza sana rafu huyu refa huu mchezo utamshinda
Lile la guu la Kagere hujaliona au Mahaba ya upande mmoja.Mpira hauna utulivu kabisa , mabeki wa Yanga wanacheza sana rafu huyu refa huu mchezo utamshinda
yaani fulu kukamia. Utafkir world cup!Ndo mpira wa yanga. Minguvu mingi tuu
Mechi imemshinda muda mrefu sana.Mpira hauna utulivu kabisa , mabeki wa Yanga wanacheza sana rafu huyu refa huu mchezo utamshinda
Zikishajua simba kashinda zinajileta zenyewe😂😂😂😂😂😂😂 afu zinapigika kirahisi, sana wewe tu,
Teh teh teh 🤣🤣..acha wakamie tu maana hamna namna.Utopolo wamelikomalia hill kombe utadhani ndio Champions League yao.