Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Ngoja nijarinu kutabiri kwenye matuta.
Yanga 4- Simba 2
Yanga 4- Simba 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga bingwa mpya mapinduzi cupKweli aiseee
Kwa kweli waache washinde tuhaya bhana Yanga hongereni
Mlikamia sana
Ahsanteee japo kishingo upande mkuu😀haya bhana Yanga hongereni
Mlikamia sana
Tulia Nyau...Kama Onyango amepewa penati apige basi Yanga wamedharauliwa sana.
Ulitaka iweje?Ahsanteee japo kishingo upande mkuu[emoji3]
Iweje how! Usipanic brother🤔Ulitaka iweje?
Kama Onyango amepewa penati apige basi Yanga wamedharauliwa sana.