pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Ok.Bila shaka wewe ni mwanaumke maana ndio wanaonenaga wivu na hawawezi kumappreciate mwenzao kama amefanya vyema kubali kata na endelea kuwa na wivu wako wakike Tanzania premier league ndio bora East Africa kama ambayo sisi hatuna wivu wa kike tunawakubali kwa upande wa mbio
Nchi gani hapa E.Africa imetupita upande wa club level? Simba ashafanya Gor Mahia ka academy yake hahahDerby that exists on papers,No skill,No football artistry,Nothing,TastelessTanzania is one of the poorest playing soccer Nations in the world
Hivi ni kwa sababu gani aisee mtani hali ipo hivyo?Nowadays Kenya football hakuna mtu ako na haja nayo,,
The most useless sport.
By 2030 itakuwa imesahaulika Kenya.
Ata waweke bure kuingia uwanja utabaki empty
hio 'soka' imewafikisha wapi??? mbona sijawai waona kule World Cup na hata African Cup huwa munaambulia kitupu?Mimi nachokiona Kenya wanapenda sana riadha. Kuna tamasha lao la riadha hujaza watu uwanja mzima. Sisi kwa upande wetu Tanzania ni soka. Hatuna mchezo mwingine. Labda na mchezo wa ngumi.
Elewa content ndugu. Sijaongelea mafanikio. Nimeongelea upenzi. Ni kweli hatuna mafanikio hiyo ni suala lingine na mimi hoja yangu haikuangazia hilo. Umeelewa sasa?hio 'soka' imewafikisha wapi??? mbona sijawai waona kule World Cup na hata African Cup huwa munaambulia kitupu?
Kama hakuna watu walijaza mashemeji derby basi hio ina point to mashemeji derby kupoteza ubabe wake...... Gor mahia simply out grew its rivlas, hao jamaa sometimes huenda unbeaten mwaka mzima..... The last time AFC leopards walishinda mechi dhidi ya Gor mahia was in 2016!!!Derby ya kwanza
Derby ya pili.
I bet gate fee was free! Prove me wrong!Kama hakuna watu walijaza mashemeji derby basi hio ina point to mashemeji derby kupoteza ubabe wake...... Gor mahia simply out grew its rivlas, hao jamaa sometimes huenda unbeaten mwaka mzima..... The last time AFC leopards walishinda mechi dhidi ya Gor mahia was in 2016!!!
Alafu hao jamaa wamebaniwa karibu kila mahali kwasababu ya vita hadi watu wengine waliacha ku attend hii derby
---------------------------------------
Sports Kenya Chairman Fred Muteti on Thursday reiterated his earlier stand that Leopards will not be allowed to use MISC until they pay Sh2 million for damage caused by the fans during the last Mashemeji derby on November 10. Angry Leopards fans vandalised the stadium's facilities after losing 4-1 to Gor Mahia in a league tie.
Muteti said Sports Kenya will only consider allowing Leopards use of their facilities after the club has paid for the damages.
“AFC Leopards are not allowed to host any of their matches at Kasarani, whether it is a derby or not, because last time they destroyed stadium facilities and have refused to pay. Let them look for another venue or they give away the match to Gor Mahia.
‘Mashemeji’ derby in doubt over venue
--------------------------------------------------
Lakini hio haimaanishi kwamba hua hatujazi stadium.. Hapa mchezo wa Kenya VS Ethiopia stadium ilikua full 60,000 fans
Athletics championships competition, stadium ilikua 50,000
Huwa hamkosi visingizio,Kama hakuna watu walijaza mashemeji derby basi hio ina point to mashemeji derby kupoteza ubabe wake...... Gor mahia simply out grew its rivlas, hao jamaa sometimes huenda unbeaten mwaka mzima..... The last time AFC leopards walishinda mechi dhidi ya Gor mahia was in 2016!!!
Alafu hao jamaa wamebaniwa karibu kila mahali kwasababu ya vita hadi watu wengine waliacha ku attend hii derby
---------------------------------------
Sports Kenya Chairman Fred Muteti on Thursday reiterated his earlier stand that Leopards will not be allowed to use MISC until they pay Sh2 million for damage caused by the fans during the last Mashemeji derby on November 10. Angry Leopards fans vandalised the stadium's facilities after losing 4-1 to Gor Mahia in a league tie.
Muteti said Sports Kenya will only consider allowing Leopards use of their facilities after the club has paid for the damages.
“AFC Leopards are not allowed to host any of their matches at Kasarani, whether it is a derby or not, because last time they destroyed stadium facilities and have refused to pay. Let them look for another venue or they give away the match to Gor Mahia.
‘Mashemeji’ derby in doubt over venue
--------------------------------------------------
Lakini hio haimaanishi kwamba hua hatujazi stadium.. Hapa mchezo wa Kenya VS Ethiopia stadium ilikua full 60,000 fans
Athletics championships competition, stadium ilikua 50,000
KWahivyo kama pia sisi tunajaza stadium kwa michezo mingine lakini hatujazi kwa hio derby, unafikiri ni kwanini kama si hizo sababu zilizokupatia?Huwa hamkosi visingizio,
Hapa Tanzania ilicheza na Uganda mwaka jana cheki uwanja ulivyotema
Hapa simba na Sevila,
Hapo juu nilipost mapato ya derby mbili ndani ya mwaka mmoja,KWahivyo kama pia sisi tunajaza stadium kwa michezo mingine lakini hatujazi kwa hio derby, unafikiri ni kwanini kama si hizo sababu zilizokupatia?
Hii ni forum yamijadala bana...Hapo juu nilipost mapato ya derby mbili ndani ya mwaka mmoja,
Wewe na kiherehere badala ureply comment yangu kwa kuweka mapato kama comment yangu inavyo jieleza unareply kwa kuweka visingizio visivyo na mashiko.
Ndio ni forum ya mijadala ila unatakiwa ujadili kulingana na kinachojadiliwa kwenye uzi husika,Hii ni forum yamijadala bana...
Tukiwa wanabiashara wa bidhaa za rejareja , wewe usemee leo umeuza bidhaa za laki moja na mimi niwe sijauza... si naweza nikakwambia sijauza kitu sababu leo nilikua mgonjwa.....
Mimi nimekupatia reply ambayo inakuelezea kwanini Kenya hajauza ticketi nyingi kwa hio derby...
Je mimi nikuletea ticket sales za mchezo wa raga ambao huchangisha 20 Million kwa kuuza tiketi 32,000 na nianze kucheka jinsi vile TZ ni mchezo wa soccar pekee ndo unajulikana.
32,000 Safari 7’s tickets were sold
Wewe hauwezi kuniletea ticket sales kama hizo kwa mchezo wa raga, so utasemaje????? Utasema huko kwenu raga haina mashabiki na hua hakuna derby yeyote ya raga inayovutia watu... Vile vile mimi nimekwambia mashemeji derby iliisha utamu wake kutokana na sababu nilizokupatia hapo juu... Sikuhizi hata mchezo wa womens volleyball huchangisha hela nyingi zaidi kuliko mashemeji derby
Kama hakuna watu walijaza mashemeji derby basi hio ina point to mashemeji derby kupoteza ubabe wake...... Gor mahia simply out grew its rivlas, hao jamaa sometimes huenda unbeaten mwaka mzima..... The last time AFC leopards walishinda mechi dhidi ya Gor mahia was in 2016!!!
Alafu hao jamaa wamebaniwa karibu kila mahali kwasababu ya vita hadi watu wengine waliacha ku attend hii derby
---------------------------------------
Sports Kenya Chairman Fred Muteti on Thursday reiterated his earlier stand that Leopards will not be allowed to use MISC until they pay Sh2 million for damage caused by the fans during the last Mashemeji derby on November 10. Angry Leopards fans vandalised the stadium's facilities after losing 4-1 to Gor Mahia in a league tie.
Muteti said Sports Kenya will only consider allowing Leopards use of their facilities after the club has paid for the damages.
“AFC Leopards are not allowed to host any of their matches at Kasarani, whether it is a derby or not, because last time they destroyed stadium facilities and have refused to pay. Let them look for another venue or they give away the match to Gor Mahia.
‘Mashemeji’ derby in doubt over venue
--------------------------------------------------
Lakini hio haimaanishi kwamba hua hatujazi stadium.. Hapa mchezo wa Kenya VS Ethiopia stadium ilikua full 60,000 fans
Athletics championships competition, stadium ilikua 50,000
Michezo ya raga hujaza mashabiki kuliko hio mashemeji derby, na kiingilio ni 500 ! au ukipenda 11,183 Tanzanian ShillingHiyo athletics championship kulikua hamna kiingilio, Uhuru alikuja kufungua mashindano siku ya kwanza alifuta viingilio baada ya kuona uwanja mtupu. Mechi ya Kenya na Ethiopia Sina uhakika ila nashawishika kuamini pia ilikua ni free.
Kuingia uwanjani kwa kulipa ni culture ambayo haijengwi kwa mechi moja. Simba na Yanga huwa wanacheza full house mechi karibia zote za njee ya Dar. Dar derby huwa Ina Leta watu kutoka mikoa yote ya Tz, nchi jirani na Africa kwa ujumla.Wakenya, warundi, waganda, wacongo huwa tunakutana nao wakiwa wamekuja specifically ku watch game. Mfano hii ya juzi ma reporter kutoka west, south & north Africa walikuja. Zaidi ya mareporter 120 wali cover Ile game. Hii derby ni kubwa mno, ata TFF wakiamua ije ichezwe Nairobi itajaza huo uwanja wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama tunafaa kujadili kulingana na hio mada "Simba sc vs Young Africans fc the largest derby in the whole of Africa" basi kitu cha kwanza ni mada iondolewe kwa section ya Kenya News" manake Kenya haijatajwa hapo, mada ipelekwe kule kwa international forums.Ndio ni forum ya mijadala ila unatakiwa ujadili kulingana na kinachojadiliwa kwenye uzi husika,
Kichwa cha uzi kiko wazi, mambo ya raga na hizo blah blah zote za nini!
Visingizio.
Aliyeandika kuwa ni largest in Africa ni wewe,Kwahivyo kwa kifupi unakubali kwamba Dar si "the largest derby in the whole of Africa "? case closed, funga mada
Hebu nisomee hapa labda sina machoAliyeandika kuwa ni largest in Africa ni wewe,
Nani ni kweli Dar derby ni moja kati ya largest derby in Africa.
Aliyeandika ni nani?Hebu nisomee hapa labda sina macho
View attachment 1388988
Alie anzisha mada ni mtanzania mwenzako Geza Ulole, rudi page 1 ukajionee mwenyeweAliyeandika ni nani?