Naona ni ule mwendo wa kupimana urefu wa vibamia, watu wanasahau sisi huwa hatusindikwi kwenye aina moja ya mchezo, ilibidi tugawane maelfu tukimbie riadha ambazo zenyewe tulikua tunalipa 2,000Kshs kila mmoja, hiyo kwa pesa madafu ni Tsh 50,000
Na bado kuna hafla kama hizi nyingi zinakuja na tutakimbia kwenye zote, kawaida huko Tanzania huandaa hizi mbio, kwa walivyo wazembe na wabahili, wachache ndio hushiriki, lakini wageni wakiwemo Wakenya ndio tunakwenda huko kujaza jaza na pia kunyakua ushindi wote.