Simba sc vs Young Africans fc the largest derby in the whole of Africa

Simba sc vs Young Africans fc the largest derby in the whole of Africa

RFUEA hujaa na entrance fee huwa 1000/2500.
The next three months world u20 Athletics zitakuwa kasarani ,wait uone ikijaa ata waweke ksh.2,000
Football ni inferior sport this part of East Africa.
Kwani Kilimanjaro Marathon huwa empty? Say inferior sport in Kunyaland stop generalizing in the past 10 years how many CECAFA tournaments have been hosted in Tanzania?Or how has been attendencies in Sauti ya Busara music festival? That means even sponsorship is there!
 
Naona ni ule mwendo wa kupimana urefu wa vibamia, watu wanasahau sisi huwa hatusindikwi kwenye aina moja ya mchezo, ilibidi tugawane maelfu tukimbie riadha ambazo zenyewe tulikua tunalipa 2,000Kshs kila mmoja, hiyo kwa pesa madafu ni Tsh 50,000
Na bado kuna hafla kama hizi nyingi zinakuja na tutakimbia kwenye zote, kawaida huko Tanzania huandaa hizi mbio, kwa walivyo wazembe na wabahili, wachache ndio hushiriki, lakini wageni wakiwemo Wakenya ndio tunakwenda huko kujaza jaza na pia kunyakua ushindi wote.
Eti kupimana urefu wa vibamia? 😀 Ila sielewi kilichowasibu majirani, siku hizi mada humu zimekuwa za kipumba kupindukia. Alafu hasira na matusi wameongeza kwa kasi ya 5G. Hadi nahisi ni kama gauge ya IQ yangu inashuka. Afadhali enzi zile tulipokuwa tunapimishwa urefu wa vibamia vya maendeleo ya kiuchimi na miundo mbinu. Nakumbuka tulivokuwa tunaimbiwa hapa kazi tu, tukiambiwa kwamba tutaisoma namba. [emoji1] Omwami vindu vichenjanga nakuambia! [emoji1]
 
Mi nangoja JPM kutangaza rasmi ujenzi wa stadium mpya Dodoma!
 
I have always said sports in Tanzania can be summarised in one sentence.....Simba Vs Yanga. Beyond that there is nothing much else to be honest!!! That explains all the excitement we are seeing on this thread...this is it for TZ alpha and omega in anything sports
 
Eti kupimana urefu wa vibamia? 😀 Ila sielewi kilichowasibu majirani, siku hivi mada humu zimekuwa za kipumba kupindukia. Alafu hasira na matusi wameongeza kwa kasi ya 5G. Hadi nahisi ni kama gauge yangu ya IQ inashuka. Afadhali enzi zile tulipokuwa tunapimishwa urefu wa vibamia vya maendeleo ya kiuchimi na miundo mbinu. Nakumbuka tulivokuwa tunaimbiwa hapa kazi tu, tukiambiwa kwamba tutaisoma namba. [emoji1] Omwami vindu vichenjanga nakuambia. [emoji1]

U call this vitu vya kipumbavu?
ESmpA5UXQAUGY_5
 
Maudhurio ya Mashemeji Derby kutoka Kenya has let me down badly.. Derby ya Kenya imeudhuriwa na watu 2000 pekee while Dar Derby ya Simba na Yanga imeudhuriwa na watazamaji 68000 full capacity of the stadium while over 30 milion people were watching and followong from home via TV and their gadgets.

Amazing atmosphere! Amazing Derby.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I have always said sports in Tanzania can be summarised in one sentence.....Simba Vs Yanga. Beyond that there is nothing much else to be honest!!! That explains all the excitement we are seeing on this thread...this is it for TZ alpha and omega in anything sports
ati? Azam Sports club? Mtibwa Sugars? Kagera Sugars? These r good clubs with good management!
 
Maudhurio ya Mashemeji Derby kutoka Kenya has let me down badly.. Derby ya Kenya imeudhuriwa na watu 2000 pekee while Dar Derby ya Simba na Yanga imeudhuriwa na watazamaji 68000 full capacity of the stadium while over 30 milion people were watching and followong from home via TV and their gadgets.

Amazing atmosphere! Amazing Derby.

Sent using Jamii Forums mobile app
kua fala Gwizzy anaanza dharau! hata kwenye athletic sidhani kama kuna event kubwa zaidi ya Kilimanjaro Marathon EA!

Africa Marathons | The Home of Marathons in Africa | Run Africa
 
ati? Azam Sports club? Mtibwa Sugars? Kagera Sugars? These r good clubs with good management!
Guys enjoy it .....might be a while before there is another significant sporting event in TZ!!!
 
Prize money for position one was KShs 180,000.....surely even university events are more rewarding

Runners World Magazine has named the Kilimanjaro Marathon as the no. 2 Wonder of the World Marathon, while Forbes Magazine has named it the 4th best international adventure marathon.

February 13-16, 2020

Zanzibar, Tanzania

Celebrate African culture with 400+ musicians and live performances carnival style-over four days and three enormous stages. Every year, Stone Town, Zanzibar is buzzing with music, dancing, fire eaters and an appetizing food market with Zanzibari favorites and delicacies, visited by thousands around the world.

14 African Music Festivals That Are Worth Catching A Flight For - TravelNoire

CC: fool Gwizzy
 
I am just stating facts KShs 180,000 will not attract any elite runners ...a marathon is as good as the field that is competing....but you would not know..Just stick to Simba Vs Yanga at least that you are good at!!!

u Kenyan runners come to Kili marathon in droves!
 
u Kenyan runners come to Kili marathon in droves!
Kenyan tourists..no serious runner will compete for 180k....We attend for the good views and good vybes and for the gram ...nothing else😀😀😀
 
kua fala Gwizzy anaanza dharau! hata kwenye athletic sidhani kama kuna event kubwa zaidi ya Kilimanjaro Marathon EA!

Africa Marathons | The Home of Marathons in Africa | Run Africa
Have you heard of Nairobi Marathon, Lewa Marathon or Uganda Marathon? Kilimanjaro Marathon attracts just over 8,000 participants. That can't be compared with Nairobi Marathon that attracts over 20,000 runners from different parts of the world
The Six Must-Do Marathons In Africa - Rad Season
 
Back
Top Bottom