Alikuwa anakucheka wewe 😂😂😂Huyu jamaa nimemuacha anacheka huku anagalagala chini sijajua anacheka kwa kitu gani?
Azam mlioitoa kwa penat ilikuwa imetoka kucheza jana yake, Pia Namungo ilicheza leo na kesho. Pamoja na hizo ratiba hakuna aliyelalamika maana vilabu viliona ni sehemu tu ya kucheza wachezaji wasiotumika sana.Timu gani hiyo ilocheza leo na kesho
Manyau yalicheza mfululizo bila kupumzika ndio maana yalifungwa na waliopumzika muda mrefu. Poleni kwa uonevu.Azam mlioitoa kwa penat ilikuwa imetoka kucheza jana yake, Pia Namungo ilicheza leo na kesho. Pamoja na hizo ratiba hakuna aliyelalamika maana vilabu viliona ni sehemu tu ya kucheza wachezaji wasiotumika sana.
Ila chakushangaza mnajivunia kuchukua huo ubingwa halafu mnakejeli michuano ya simba huku mkiona kabisa wachezaji wote wanatumiwa bila kujali ni wa first eleven au lah, utopolo akili zenu....
Kipindi cha manji mlikuwa mnapeleka timu ya vijana kushiriki mapinduzi cup ila leo hii mnajivunia kuchukua ubingwa aaaaah utopolo yanalazimisha furaha baada ya kuchacha.Manyau yalicheza mfululizo bila kupumzika ndio maana yalifungwa na waliopumzika muda mrefu. Poleni kwa uonevu.
Wewe si ulienda na ukaukalia.Chakushangaza unajivunia ubingwa wa mapinduzi mashindano ambayo timu moja ilikuwa inacheza leo na kesho. Utopolo akili zenu..
Aaaah pia mliifunga Azam iliotoka kucheza jana yake.Utopolo oyeeeWewe si ulienda na ukaukalia.
Mkuu utawaweza Hawa mwakalebela fc 🤣🤣🤣Mlipewa kitabu chenye kurasa 400 kwa ajili ya mfumo wa kiuendeshaji ndani ya Yanga, VP mmefika ukurasa wa ngapi au kila jioni mnaenda kuangalia mazoezi ya simba pale bunju[emoji3][emoji3]
Nyie mshaukalia mapinduzi hamna jipyaAzam mlioitoa kwa penat ilikuwa imetoka kucheza jana yake, Pia Namungo ilicheza leo na kesho. Pamoja na hizo ratiba hakuna aliyelalamika maana vilabu viliona ni sehemu tu ya kucheza wachezaji wasiotumika sana.
Ila chakushangaza mnajivunia kuchukua huo ubingwa halafu mnakejeli michuano ya simba huku mkiona kabisa wachezaji wote wanatumiwa bila kujali ni wa first eleven au lah, utopolo akili zenu....
Nyie si hamkushiriki au sio na hamkupapaswa na mabingwa wa kihistoriaKipindi cha manji mlikuwa mnapeleka timu ya vijana kushiriki mapinduzi cup ila leo hii mnajivunia kuchukua ubingwa aaaaah utopolo yanalazimisha furaha baada ya kuchacha.