Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,556
- 2,571
Kuna mtu hapa kauliza Simba jana kacheza ligi gani, nimemjibu ligi yake katengeneza kikombe chake, kaleta marefa wake, mipira yake, timu tatu na kombe linatolewa JPili.
Huyu jamaa nimemuacha anacheka huku anagalagala chini sijajua anacheka kwa kitu gani?
HAYA MTOE JIBU NANI ZAIDI
Huyu jamaa nimemuacha anacheka huku anagalagala chini sijajua anacheka kwa kitu gani?
HAYA MTOE JIBU NANI ZAIDI