Hahahaha mipaka bhanaKazi kweli alitamba kwamba kila kombe atachukua aliposhindwa kombe la mapinduzi katengeneza la kwake ili watu wasahau b20 katafuta marefa uwanja wa kwake mapaka ya kweli wasimamizi wa kwake halafu atatamba kuwa kabeba kombe ukiwaambia hivyo wanakuja na matusi hao ndio Mbumbumbu/Mikia/Bodaboda/Mapaka Club
Ndio kwanza wako ukurasa wa kuzindua kalenda katikati ya JanuaryMlipewa kitabu chenye kurasa 400 kwa ajili ya mfumo wa kiuendeshaji ndani ya Yanga, VP mmefika ukurasa wa ngapi au kila jioni mnaenda kuangalia mazoezi ya simba pale bunju[emoji3][emoji3]
mkuu punguza jazba.kwani wewe matako yako no matakwa yako yanatakaje
Utueleze Kwanza wewe kuhusu uliyomuuliza mwenzio...kwani wewe matako yako no matakwa yako yanatakaje
Wewe hayo ya Simba Super Cup yanakuhusu?Tuachie wenyewe nyie haiwahusu
Simba wanaliaibisha taifa kiingilio ni sawa bure lakini hawataki kwenda uwanjani. Watu hata elfu 6 hawakufika .mechi ya kesho na Mazembe hawatafika elfu 13.halafu walipewa kombe sijui ndo wataanza kushangilia nalo au?Wameandaa tournament lakini hawaendi uwanjani. Waliongia hawafiki hata asilimia 10. Aibu !
Nyani wa Utopolo weweNimeanza kumiliki smart phone wewe hujazaliwa ngedere wewe
Sasa ni lini Simba akawa hana mkia?Tena mkia wa mbele na nyuma🤣🤣🤣🤣🤣Nyie jina la mikia si mmeshalisajili
FIFA wamechomoa betri hukoSindano