Simba SC vs Ze Comedy nani zaidi?

Simba SC vs Ze Comedy nani zaidi?

Kazi kweli alitamba kwamba kila kombe atachukua aliposhindwa kombe la mapinduzi katengeneza la kwake ili watu wasahau b20 katafuta marefa uwanja wa kwake mapaka ya kweli wasimamizi wa kwake halafu atatamba kuwa kabeba kombe ukiwaambia hivyo wanakuja na matusi hao ndio Mbumbumbu/Mikia/Bodaboda/Mapaka Club
 
Hahahaha mipaka bhana
 
Mlipewa kitabu chenye kurasa 400 kwa ajili ya mfumo wa kiuendeshaji ndani ya Yanga, VP mmefika ukurasa wa ngapi au kila jioni mnaenda kuangalia mazoezi ya simba pale bunju[emoji3][emoji3]
Ndio kwanza wako ukurasa wa kuzindua kalenda katikati ya January
 
Wameandaa tournament lakini hawaendi uwanjani. Waliongia hawafiki hata asilimia 10. Aibu !
Simba wanaliaibisha taifa kiingilio ni sawa bure lakini hawataki kwenda uwanjani. Watu hata elfu 6 hawakufika .mechi ya kesho na Mazembe hawatafika elfu 13.halafu walipewa kombe sijui ndo wataanza kushangilia nalo au?

Halafu watuambie waliopata Hilo kombe wachezaji watapewa pesa au wakilipata basi na pesa haitoki. Kama pesa utatoka watuambie watafanyia Nini.
 
Nimeanza kumiliki smart phone wewe hujazaliwa ngedere wewe
Nyani wa Utopolo wewe
FB_IMG_1611664650393.jpg
 
Back
Top Bottom