Simba SC vs Ze Comedy nani zaidi?

Simba SC vs Ze Comedy nani zaidi?

Bonanza la Simba limepoa Kama maji kwenye mtungi halafu Mahindi kumbe nu mil. 15 tu. Kwa hindi Mo alivyomhuni huenda anataka kujitafutia kombe la kuwadanganyishia mbumbumbu. Kiingilio ni buku 2.
IMG_20210129_195736.jpg
 
Mzungu wa Nguruka kawaaminisha kwamba Simbwa ni timu ya kwanza kuandaa ka tournament kama hako. As usual, wamemeza jumla. Mbumbumbu hawana tiba.
 
Kuna mtu hapa kauliza Simba jana kacheza ligi gani, nimemjibu ligi yake katengeneza kikombe chake, kaleta marefa wake, mipira yake, timu tatu na kombe linatolewa JPili.

Huyu jamaa nimemuacha anacheka huku anagalagala chini sijajua anacheka kwa kitu gani?

HAYA MTOE JIBU NANI ZAIDI
Wewe ni mpumbavu wa kiwango cha PhD nyuzi zako zote huwa za kijinga jinga tu,unatujazia saver kobe wewe [emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu hapa kauliza Simba jana kacheza ligi gani, nimemjibu ligi yake katengeneza kikombe chake, kaleta marefa wake, mipira yake, timu tatu na kombe linatolewa JPili.

Huyu jamaa nimemuacha anacheka huku anagalagala chini sijajua anacheka kwa kitu gani?

HAYA MTOE JIBU NANI ZAIDI
Sawa dada. Kwan shida yako nn?. Timu zote znazoshirki zpo hatua ya makundi champion league ya Africa. MVAA VJORA UNSTAKA SIMBA ACHEZE NA MALINDI/ MLANDEGE ZA ZANZIBA?. Hizo ni level ya Yanga a.k.a timu ya wsanawake. Timu ya wavaa madela. UTAUMIA SANA. Simba sio size yenu. Hapo simba kakuoneshen timu size zake. MNATESEKA NGURUWE FC NYIE

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Mzungu wa Nguruka kawaaminisha kwamba Simbwa ni timu ya kwanza kuandaa ka tournament kama hako. As usual, wamemeza jumla. Mbumbumbu hawana tiba.
Mambumbumbu hayajielewi,sijui kama yatakuja kupona ugonjwa wa afya ya akili
 
Mlipewa kitabu chenye kurasa 400 kwa ajili ya mfumo wa kiuendeshaji ndani ya Yanga, VP mmefika ukurasa wa ngapi au kila jioni mnaenda kuangalia mazoezi ya simba pale bunju[emoji3][emoji3]

Wamefikia ukurasa wa kuzindua kalenda...
 
Sawa dada. Kwan shida yako nn?. Timu zote znazoshirki zpo hatua ya makundi champion league ya Africa. MVAA VJORA UNSTAKA SIMBA ACHEZE NA MALINDI/ MLANDEGE ZA ZANZIBA?. Hizo ni level ya Yanga a.k.a timu ya wsanawake. Timu ya wavaa madela. UTAUMIA SANA. Simba sio size yenu. Hapo simba kakuoneshen timu size zake. MNATESEKA NGURUWE FC NYIE

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Akili huna ww mikia ni mikia tu akili zenu zipo mikiani
 
Wameandaa tournament lakini hawaendi uwanjani. Waliongia hawafiki hata asilimia 10. Aibu !
 
Back
Top Bottom