Simba SC waingiza wawili kikosi Bora cha wiki CAFCC

Wanangu wa Thimba hapo mnaona ni bonge la mafanikio kumbe hamna kitu, haya wameingia kwenye kikosi bora, what next kama tu sio kusifiwa na kufunika kusahauπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanangu wa Thimba hapo mnaona ni bonge la mafanikio kumbe hamna kitu, haya wameingia kwenye kikosi bora, what next kama tu sio kusifiwa na kufunika kusahauπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kwa hiyo unatakaje
 
Kanoke tusubirie mechi ya jumapili atathiminiwe waweza kuta adebayoo tunaachana nae
 
Hivi Makolo wanapojisifu wako vzr kimataifa wamechukua kombe gani
 
Poa sanaaa
 
Wanangu wa Thimba hapo mnaona ni bonge la mafanikio kumbe hamna kitu, haya wameingia kwenye kikosi bora, what next kama tu sio kusifiwa na kufunika kusahauπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
wewe sio mzima halafu ni hater. hilo kombe linabebwa na kina nani sasa kama sio uwepo wa wachezaji wenye uwezo? huoni kutambulika kwa uwezo wa kina Zimbwe ni faraja kwetu kwamba tuna kikosi imara?

Tunajua hamna la kunivunia na mnateseka sana,sasa msizuie wengine kufurahi na kujivunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…