Gamaha
JF-Expert Member
- Jul 17, 2008
- 3,915
- 5,038
Mnalo nyiee Utoila maajabu hamna hata kombe la kimataifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnalo nyiee Utoila maajabu hamna hata kombe la kimataifa
Mnalo nyiee Uto
Nyie ndio wazee wa makombe, na kuongoza ligiGeuzeni hata mafanikio kuwa makombe wakuu. Guvu moyaaaa
Nyie ndio wazee wa makombe, na kuongoza ligi
Ni kombe? hizo twakimu zina sadia nini, Wenzenu wanatoa player of the tournament nyie mnakomaa na man of the matchHayo majinga hata mchezaji waaa kikosi cha week wanajua maana yakee kweli?
Wanangu wa Thimba hapo mnaona ni bonge la mafanikio kumbe hamna kitu, haya wameingia kwenye kikosi bora, what next kama tu sio kusifiwa na kufunika kusahau😂😂😂SIMBA YATOA WAWILI KIKOSI BORA CHA WIKI CAF
Hiki Hapa Kikosi Bora cha wiki Kombe la Shirikisho Afrika:
1. Zakaria Saidi (JS Soura)
2. Karim El Eraki (Al Masry)
3. Mohammed Hussein (Simba SC)
4. Kevin Mondeko (TP Mazembe)
5. Joash Onyango (Simba)
6. Ghazi Ayadi (JS Soura)
7. Hassan Ali (Al Masry)
8. Felix Oukine (Coton Sport)
9. Karim Konate (Asec Mimosas)
10. Mohammed El Fakih (Al Ahli Tripoli)
11. Kabelo Dlamin (Orlando Pirates)
My Take
Huyu Konate aje Simba Sc tuchukue CAFCL mwakani
kwa hiyo unatakajeWanangu wa Thimba hapo mnaona ni bonge la mafanikio kumbe hamna kitu, haya wameingia kwenye kikosi bora, what next kama tu sio kusifiwa na kufunika kusahau😂😂😂
bebeni kombe la shirikisho Africa sio kujisifu mumeingiza wachezaji wawili kwenye kikosi cha wiki, thimba guvu moyaaakwa hiyo unatakaje
Kanoke tusubirie mechi ya jumapili atathiminiwe waweza kuta adebayoo tunaachana naeSIMBA YATOA WAWILI KIKOSI BORA CHA WIKI CAF
Hiki Hapa Kikosi Bora cha wiki Kombe la Shirikisho Afrika:
1. Zakaria Saidi (JS Soura)
2. Karim El Eraki (Al Masry)
3. Mohammed Hussein (Simba SC)
4. Kevin Mondeko (TP Mazembe)
5. Joash Onyango (Simba)
6. Ghazi Ayadi (JS Soura)
7. Hassan Ali (Al Masry)
8. Felix Oukine (Coton Sport)
9. Karim Konate (Asec Mimosas)
10. Mohammed El Fakih (Al Ahli Tripoli)
11. Kabelo Dlamin (Orlando Pirates)
My Take
Huyu Konate aje Simba Sc tuchukue CAFCL mwakani
Why Benin?Benin ni neutral ground. Ushindi unanukia
Kwa mujibu wa CAF, uwanja wao wa nyumbani Ivory Coast haukidhi viwango. Kwa hiyo wamechagua wachezee BeninWhy Benin?
Wanasema Simba inabebwa na waamuzi...😂😂😂wachambuzi wa mchongo wanasemaje ?
Poa sanaaaSIMBA YATOA WAWILI KIKOSI BORA CHA WIKI CAF
Hiki Hapa Kikosi Bora cha wiki Kombe la Shirikisho Afrika:
1. Zakaria Saidi (JS Soura)
2. Karim El Eraki (Al Masry)
3. Mohammed Hussein (Simba SC)
4. Kevin Mondeko (TP Mazembe)
5. Joash Onyango (Simba)
6. Ghazi Ayadi (JS Soura)
7. Hassan Ali (Al Masry)
8. Felix Oukine (Coton Sport)
9. Karim Konate (Asec Mimosas)
10. Mohammed El Fakih (Al Ahli Tripoli)
11. Kabelo Dlamin (Orlando Pirates)
My Take
Huyu Konate aje Simba Sc tuchukue CAFCL mwakani
nimefurahi sana hii kitu.Kwa mujibu wa CAF, uwanja wao wa nyumbani Ivory Coast haukidhi viwango. Kwa hiyo wamechagua wachezee Benin
wewe sio mzima halafu ni hater. hilo kombe linabebwa na kina nani sasa kama sio uwepo wa wachezaji wenye uwezo? huoni kutambulika kwa uwezo wa kina Zimbwe ni faraja kwetu kwamba tuna kikosi imara?Wanangu wa Thimba hapo mnaona ni bonge la mafanikio kumbe hamna kitu, haya wameingia kwenye kikosi bora, what next kama tu sio kusifiwa na kufunika kusahau😂😂😂
alipotezwa mazima kwa MkapaHuyu Konate aje Simba Sc tuchukue CAFCL mwakani