maghambo619
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,537
- 1,360
Adebayo ndio mtu sahihi kwa Simba,Konate ni ngumu Sana kuja Simba ndugu yangu.Media houses za ivory coast zinampamba kila siku na kumfananisha na drogba wa baadae,wenyewe wanasema ana hadhi ya kuchezea ulaya na si Africa .Kiufupi huyu dogo ni kama Kelvin John wa bongo kule kwao
Wa kuja bongo hapa ni Yule wa USGN;Adebayo
Hata mwenyewe anaonekana km anaipenda simba,na anonekana endapo ulaya kutabuma ameiweka Simba km option B
Ni CV hiyo Kaka, najua inakuuma Ila ukweli ni kwamba Simba inaendelea kutajwa Sana afrika kupitia performance yake na hizi takwimu unazozidharauWanangu wa Thimba hapo mnaona ni bonge la mafanikio kumbe hamna kitu, haya wameingia kwenye kikosi bora, what next kama tu sio kusifiwa na kufunika kusahau[emoji23][emoji23][emoji23]
Yani wachambuzi wetu ni kichefuchefu, hawana creativity.. kazi kusambaza screenshot za wenzao, hata Kama ni Mambo ya kipuuzi.Wanasema Simba inabebwa na waamuzi...[emoji23][emoji23][emoji23]
Yanga wamepewa garasa wametoa chuma. Yaani uto....Inamaana Chiko Ushindi hayupo!!?
Usitishwe na kelele za vyura, umesahau walivokua wanapanda Ndege tu hizo tambo zao? Je wangeingiza mchezaji hata mmoja kwenye kikosi Bora cha CAF ingekuaje?Si ndio hapo sasa. Mimi binafsi nimeona kama jamaa ameamua kufanya ukatili tu.
Yaani watu wasiipongeze timu yao hadi pale itakapotwaa ubingwa wa Afrika ?
Nadhani hata jukwaa litakua linaboa maana kutatawala ukimya wa ajabu.
Hii ni sawa na kumkataza mtoto asifurahie kufaulu mtihani wa muhula wa kwanza wa Hesabu kidato cha pili, eti asubiri afaulu mtihani wa form four ndipo afurahi.
UKATILI
Hawa Wataalamu wa CAF wanajua kweli mpira. Kwa anayejua soka lazima amchukue Onyango na siyo Inonga.SIMBA YATOA WAWILI KIKOSI BORA CHA WIKI CAF
Hiki Hapa Kikosi Bora cha wiki Kombe la Shirikisho Afrika:
1. Zakaria Saidi (JS Soura)
2. Karim El Eraki (Al Masry)
3. Mohammed Hussein (Simba SC)
4. Kevin Mondeko (TP Mazembe)
5. Joash Onyango (Simba)
6. Ghazi Ayadi (JS Soura)
7. Hassan Ali (Al Masry)
8. Felix Oukine (Coton Sport)
9. Karim Konate (Asec Mimosas)
10. Mohammed El Fakih (Al Ahli Tripoli)
11. Kabelo Dlamin (Orlando Pirates)
My Take
Huyu Konate aje Simba Sc tuchukue CAFCL mwakani
Halafu mzee umeweka avatar ya kluivert, unataka kusema huyu ni sawa na kina pape ndaw!?Miongoni mwa wachezaji wabovu kusajiliwa na huyu ni mmoja wao
Shabiki kocha [emoji23][emoji23]Kuondoka kwa Kagere, Mugalu, Wawa na Morisson probably Lwanga kutafungua usajili wa wachezaji watano wa kimataifa.
Probably mbili zinaweza kuwa zimeshajazwa tayari kwa maana ya Moses Phiri na Victorien Adebayor.
Ila kwenye striking force binafsi naona Simba wangemtazama Aboubakary Nassir ili tukamilishe replacement za Morisson, Kagere na Mugalu kwa pamoja.
Hongera the π¦SIMBA YATOA WAWILI KIKOSI BORA CHA WIKI CAF
Hiki Hapa Kikosi Bora cha wiki Kombe la Shirikisho Afrika:
1. Zakaria Saidi (JS Soura)
2. Karim El Eraki (Al Masry)
3. Mohammed Hussein (Simba SC)
4. Kevin Mondeko (TP Mazembe)
5. Joash Onyango (Simba)
6. Ghazi Ayadi (JS Soura)
7. Hassan Ali (Al Masry)
8. Felix Oukine (Coton Sport)
9. Karim Konate (Asec Mimosas)
10. Mohammed El Fakih (Al Ahli Tripoli)
11. Kabelo Dlamin (Orlando Pirates)
My Take
Huyu Konate aje Simba Sc tuchukue CAFCL mwakani
Kwahivyo wewe Zero Zero ndo unajua soka kuliko wenye mpira wao CAF..! Kwakweli ni hiki ni kioja cha Karne.Hawa Wataalamu wa CAF wanajua kweli mpira. Kwa anayejua soka lazima amchukue Onyango na siyo Inonga.
wewe mafanikio yako yako wap mkuuGeuzeni hata mafanikio kuwa makombe wakuu. Guvu moyaaaa
SIMBA YATOA WAWILI KIKOSI BORA CHA WIKI CAF
Hiki Hapa Kikosi Bora cha wiki Kombe la Shirikisho Afrika:
1. Zakaria Saidi (JS Soura)
2. Karim El Eraki (Al Masry)
3. Mohammed Hussein (Simba SC)
4. Kevin Mondeko (TP Mazembe)
5. Joash Onyango (Simba)
6. Ghazi Ayadi (JS Soura)
7. Hassan Ali (Al Masry)
8. Felix Oukine (Coton Sport)
9. Karim Konate (Asec Mimosas)
10. Mohammed El Fakih (Al Ahli Tripoli)
11. Kabelo Dlamin (Orlando Pirates)
My Take
Huyu Konate aje Simba Sc tuchukue CAFCL mwakani
Uwe na huruma mkuu.Kuna watu hawapendi habari za namna hii.Acha kabisa!ππππSIMBA YATOA WAWILI KIKOSI BORA CHA WIKI CAF
Hiki Hapa Kikosi Bora cha wiki Kombe la Shirikisho Afrika:
1. Zakaria Saidi (JS Soura)
2. Karim El Eraki (Al Masry)
3. Mohammed Hussein (Simba SC)
4. Kevin Mondeko (TP Mazembe)
5. Joash Onyango (Simba)
6. Ghazi Ayadi (JS Soura)
7. Hassan Ali (Al Masry)
8. Felix Oukine (Coton Sport)
9. Karim Konate (Asec Mimosas)
10. Mohammed El Fakih (Al Ahli Tripoli)
11. Kabelo Dlamin (Orlando Pirates)
My Take
Huyu Konate aje Simba Sc tuchukue CAFCL mwakani
Hapa ungenyamaza tu yanga mwenzangu. Hujui kimataifa maana yake nini? Unaposhiriki na nchi nyingine mbali na yako ndo kimataifa yenyewe hiyo. Mfano tanzania vs rwanda au burundi au kenya. Kombe la kagame linashirikisha teams za kutoka nchi gani? Ndo maana ya kimataifa. Nadhani kama upo smart upstairs utakuwa umeelewaduh kagame ni kimataifa?Aiseee
Hio fainali kombe alibeba ama hakubeba?
Hapa ungenyamaza tu yanga mwenzangu. Hujui kimataifa maana yake nini? Unaposhiriki na nchi nyingine mbali na yako ndo kimataifa yenyewe hiyo. Mfano tanzania vs rwanda au burundi au kenya. Kombe la kagame linashirikisha teams za kutoka nchi gani? Ndo maana ya kimataifa. Nadhani kama upo smart upstairs utakuwa umeelewa