Simba SC waingiza wawili kikosi Bora cha wiki CAFCC

Simba SC waingiza wawili kikosi Bora cha wiki CAFCC

Konate ni ngumu Sana kuja Simba ndugu yangu.Media houses za ivory coast zinampamba kila siku na kumfananisha na drogba wa baadae,wenyewe wanasema ana hadhi ya kuchezea ulaya na si Africa .Kiufupi huyu dogo ni kama Kelvin John wa bongo kule kwao

Wa kuja bongo hapa ni Yule wa USGN;Adebayo
Hata mwenyewe anaonekana km anaipenda simba,na anonekana endapo ulaya kutabuma ameiweka Simba km option B
Adebayo ndio mtu sahihi kwa Simba,
 
Wanangu wa Thimba hapo mnaona ni bonge la mafanikio kumbe hamna kitu, haya wameingia kwenye kikosi bora, what next kama tu sio kusifiwa na kufunika kusahau[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni CV hiyo Kaka, najua inakuuma Ila ukweli ni kwamba Simba inaendelea kutajwa Sana afrika kupitia performance yake na hizi takwimu unazozidharau
 
Si ndio hapo sasa. Mimi binafsi nimeona kama jamaa ameamua kufanya ukatili tu.

Yaani watu wasiipongeze timu yao hadi pale itakapotwaa ubingwa wa Afrika ?

Nadhani hata jukwaa litakua linaboa maana kutatawala ukimya wa ajabu.

Hii ni sawa na kumkataza mtoto asifurahie kufaulu mtihani wa muhula wa kwanza wa Hesabu kidato cha pili, eti asubiri afaulu mtihani wa form four ndipo afurahi.
UKATILI
Usitishwe na kelele za vyura, umesahau walivokua wanapanda Ndege tu hizo tambo zao? Je wangeingiza mchezaji hata mmoja kwenye kikosi Bora cha CAF ingekuaje?
 
SIMBA YATOA WAWILI KIKOSI BORA CHA WIKI CAF

Hiki Hapa Kikosi Bora cha wiki Kombe la Shirikisho Afrika:

1. Zakaria Saidi (JS Soura)
2. Karim El Eraki (Al Masry)
3. Mohammed Hussein (Simba SC)
4. Kevin Mondeko (TP Mazembe)
5. Joash Onyango (Simba)
6. Ghazi Ayadi (JS Soura)
7. Hassan Ali (Al Masry)
8. Felix Oukine (Coton Sport)
9. Karim Konate (Asec Mimosas)
10. Mohammed El Fakih (Al Ahli Tripoli)
11. Kabelo Dlamin (Orlando Pirates)

My Take
Huyu Konate aje Simba Sc tuchukue CAFCL mwakani
Hawa Wataalamu wa CAF wanajua kweli mpira. Kwa anayejua soka lazima amchukue Onyango na siyo Inonga.
 
Kuondoka kwa Kagere, Mugalu, Wawa na Morisson probably Lwanga kutafungua usajili wa wachezaji watano wa kimataifa.

Probably mbili zinaweza kuwa zimeshajazwa tayari kwa maana ya Moses Phiri na Victorien Adebayor.

Ila kwenye striking force binafsi naona Simba wangemtazama Aboubakary Nassir ili tukamilishe replacement za Morisson, Kagere na Mugalu kwa pamoja.
Shabiki kocha [emoji23][emoji23]
 
SIMBA YATOA WAWILI KIKOSI BORA CHA WIKI CAF

Hiki Hapa Kikosi Bora cha wiki Kombe la Shirikisho Afrika:

1. Zakaria Saidi (JS Soura)
2. Karim El Eraki (Al Masry)
3. Mohammed Hussein (Simba SC)
4. Kevin Mondeko (TP Mazembe)
5. Joash Onyango (Simba)
6. Ghazi Ayadi (JS Soura)
7. Hassan Ali (Al Masry)
8. Felix Oukine (Coton Sport)
9. Karim Konate (Asec Mimosas)
10. Mohammed El Fakih (Al Ahli Tripoli)
11. Kabelo Dlamin (Orlando Pirates)

My Take
Huyu Konate aje Simba Sc tuchukue CAFCL mwakani
Hongera the 🦁
 
Hawa Wataalamu wa CAF wanajua kweli mpira. Kwa anayejua soka lazima amchukue Onyango na siyo Inonga.
Kwahivyo wewe Zero Zero ndo unajua soka kuliko wenye mpira wao CAF..! Kwakweli ni hiki ni kioja cha Karne.

Halafu cha kushangaza na cha kuchekesha kwamba hujui unalo sema na kuandika, hivi wapi CAF wamemchukua Inonga na wakamuacha Onyango, ilhali Onyango ndo yupo kwenye orodha na si Inonga.

Nalazimika tena ku conclude kuwa ujinga ni sehemu ya maisha yako.
 
Hicho kikosi cha akina Onyango ni kikosi Ndondo cup hiyo
SIMBA YATOA WAWILI KIKOSI BORA CHA WIKI CAF

Hiki Hapa Kikosi Bora cha wiki Kombe la Shirikisho Afrika:

1. Zakaria Saidi (JS Soura)
2. Karim El Eraki (Al Masry)
3. Mohammed Hussein (Simba SC)
4. Kevin Mondeko (TP Mazembe)
5. Joash Onyango (Simba)
6. Ghazi Ayadi (JS Soura)
7. Hassan Ali (Al Masry)
8. Felix Oukine (Coton Sport)
9. Karim Konate (Asec Mimosas)
10. Mohammed El Fakih (Al Ahli Tripoli)
11. Kabelo Dlamin (Orlando Pirates)

My Take
Huyu Konate aje Simba Sc tuchukue CAFCL mwakani
 
SIMBA YATOA WAWILI KIKOSI BORA CHA WIKI CAF

Hiki Hapa Kikosi Bora cha wiki Kombe la Shirikisho Afrika:

1. Zakaria Saidi (JS Soura)
2. Karim El Eraki (Al Masry)
3. Mohammed Hussein (Simba SC)
4. Kevin Mondeko (TP Mazembe)
5. Joash Onyango (Simba)
6. Ghazi Ayadi (JS Soura)
7. Hassan Ali (Al Masry)
8. Felix Oukine (Coton Sport)
9. Karim Konate (Asec Mimosas)
10. Mohammed El Fakih (Al Ahli Tripoli)
11. Kabelo Dlamin (Orlando Pirates)

My Take
Huyu Konate aje Simba Sc tuchukue CAFCL mwakani
Uwe na huruma mkuu.Kuna watu hawapendi habari za namna hii.Acha kabisa!😂😂😂😂
 
duh kagame ni kimataifa?Aiseee

Hio fainali kombe alibeba ama hakubeba?
Hapa ungenyamaza tu yanga mwenzangu. Hujui kimataifa maana yake nini? Unaposhiriki na nchi nyingine mbali na yako ndo kimataifa yenyewe hiyo. Mfano tanzania vs rwanda au burundi au kenya. Kombe la kagame linashirikisha teams za kutoka nchi gani? Ndo maana ya kimataifa. Nadhani kama upo smart upstairs utakuwa umeelewa
 
Yanga mwenzangu je yanga haijawahi kushiriki huko kagame na je haina kombe huko?

Wewe ndie uliyetakiwa unyamaze. Kabla ya kukurupuka google basi upate info za kuja kujionesha upo vizuri upstairs

Back
Top Bottom