Simba SC wako kimya kana kwamba hawakucheza jana na Al Ahly

Wao wenyewe wako busy kuanzisha mada za Yanga
 
hamuwezi kufika rahisi rahisi hatua ambayo Simba hajafika mda mrefu, subiri Simba afike kwanza semi final na nyie ndio mtafuata kama mlivyofika hatua hii msimuu huu
 
Mimi naona jumatatu mashabiki wa yanga waandamane kwenda kwa mama kama kawaida yao ili apate kulitazama na hili haiwezekani wananchi wanyonge wananyang'anywa haki yao kwa nguvu.
 
Wanasimba hatuna mambo mingi,, ,tunaganga yajayo
Wametolewa wangapi tena Kwa kipigo cha goli 6 tushangae kutolewa? . Simba Hana mambo mengi mwarabu katuzidi kapita . Yanga wanaumia Kwa sababu walitaka kuipita Simba na kuanza kuisimanga hawajui huku sio like kombe Lao la 'looser'. Kweli wamekufa kiume lakini wanaogopa kutumia hiyo Kauli😄😄😄
 
Acha uchokozi.

Wenzio wanataka mjadala kuwa lile goli la Yanga halikuvuka msitari, halafu wewe unataka kuleta habari za Simba ilifungwa chuma mbili kavu kweli mtaelewana?
Kuvuka mstari au kugusa Nyavu?
 
Kwani Rage alivowaita mbumbumbu hukumwelewa
 
Simba huwa hatupendi makuu walabshow offs.
Pia sisi kuishia robo fainali ni kitu cha kawaida sana
 
Simba watu walijua tu inatoka na isitoshe kuishia robo ndio kawaida yao.
 
Nyie wageni wa kufika robo fainali ndiyo tunawashangaa kwa mayowe mnayopiga utafikiri mumekeketwa hadharani. Sisi siyo wageni wa hizo figisu kwenya hatua hii na mara nyingi yalivyotukuta mlishangilia sana. Tulieni jipangane huu siyo mwisho jaribuni next time.
 
Mnapigwa ndani nje hata aibu hamuoni!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…