Mungu fundiTungeshinda ingekuwa mjadala Ni ninyi tu had jjtatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu fundiTungeshinda ingekuwa mjadala Ni ninyi tu had jjtatu
Wao wenyewe wako busy kuanzisha mada za YangaTukio la Jana yanga kuporwa ushindi kwa nguvu limefunika kbsa habri za Simba kupigwa tatu kavu.
Yanga ndio imekuwa the top story kwa watu wote hakn mtu anongelea hbr za Simba ukiongeaa habr za Simba Wanaka kimya.
Simba wanashukuru hili tukio la yanga sna.
Hkn popote Simba imemake headline leo sijaonatumewaachia wageni wa mashindano muonyeshe ushamba wenu..
Wametolewa wangapi tena Kwa kipigo cha goli 6 tushangae kutolewa? . Simba Hana mambo mengi mwarabu katuzidi kapita . Yanga wanaumia Kwa sababu walitaka kuipita Simba na kuanza kuisimanga hawajui huku sio like kombe Lao la 'looser'. Kweli wamekufa kiume lakini wanaogopa kutumia hiyo Kauli😄😄😄Wanasimba hatuna mambo mingi,, ,tunaganga yajayo
Ishapita hiyo mzee, weekend ikiisha na mjadala wa caf unaisha.Ahahaha Simba wako humble sna leo lkn tunasema
mjadLa utaend Hadi jtatu Kisha tutawajadili Simba timu na viongozi
Kuvuka mstari au kugusa Nyavu?Acha uchokozi.
Wenzio wanataka mjadala kuwa lile goli la Yanga halikuvuka msitari, halafu wewe unataka kuleta habari za Simba ilifungwa chuma mbili kavu kweli mtaelewana?
Unajua kuhusu goli la ugenini kweli wewe?Usipunguze magoli ni 4 ukijumlisha la ugenini
Nyie wageni wa kufika robo fainali ndiyo tunawashangaa kwa mayowe mnayopiga utafikiri mumekeketwa hadharani. Sisi siyo wageni wa hizo figisu kwenya hatua hii na mara nyingi yalivyotukuta mlishangilia sana. Tulieni jipangane huu siyo mwisho jaribuni next time.Tukio la Jana yanga kuporwa ushindi kwa nguvu limefunika kbsa habri za Simba kupigwa tatu kavu.
Yanga ndio imekuwa the top story kwa watu wote hakn mtu anongelea hbr za Simba ukiongeaa habr za Simba Wanaka kimya.
Simba wanashukuru hili tukio la yanga sna.
Mnapigwa ndani nje hata aibu hamuoni!!!Nyie wageni wa kufika robo fainali ndiyo tunawashangaa kwa mayowe mnayopiga utafikiri mumekeketwa hadharani. Sisi siyo wageni wa hizo figisu kwenya hatua hii na mara nyingi yalivyotukuta mlishangilia sana. Tulieni jipangane huu siyo mwisho jaribuni next time.